Madini na jiko za ugermani ya zamani

Madini na jiko za ugermani ya zamani

Kwenye biashara za aina hii huwa ni zakusadikika...nikuwa genge la watu fulani wanakaa mahali na kutengeneza DEMAND ya ishu fulani kama hilo jiko vile, ili hali wao ndiyo wenye hilo jiko! Hivyo basi, akijotokeza mwenye hela ambaye akaingia mkenge wa kuyatafuta haya majiko....hilo genge, litampa third party ili akampige huyo tajiri....na hata hicho kioo cha kupimia wanachosema hakiwi kioo cha kawaida, ni wauzaji tu wenye nacho ili kukusadikisha!

Nitoe mfano;- Kuna genge huwa linakuwa na hela (dollars) kwnye masanduku walizo zipaka aina fulani ya dawa hivi! Hizo dolla huchanganywa na vipande viiingi sana vya karatasi vilivyo katwa kama noti za dolla! Hivyo basi, kwenye sanduku moja lililojaa noti feki za karatasi nyeupe, unaweza kukuta kuna noti halali pisi tano hivi, nazo zimepakwa nini sijui na zimekuwa nyeupee kama karatasi!

Matapeli hawa hutengeneza vipeperushi kuonyesha kuwa hizo hela (kwenye sanduku) zilikuwa zitumwe na ubalozi wa USA kwenda Congo au mahali popote na zina thamani ya millions of dollars, ila wao wameziapata kwasababu bla bla bla....si unajua!? Pia wanayo dawa kidgo sana imebaki ili kusafisha baadhi tu ya pisi za dola....!

Hilo genge huanza kuzunguka ili kutengeneza DEMAND ya dawa ya kusafishia dola....na wakimpata tajiri humwambia kuwa hiyo dawa huuzwa milioni nyingi tu...pengine wanajuwa wapi dawa inapaitikana lakini hawana fedha....ili kumwaminisha tajiri, husafisha noti halali za dola na huenda naye wote kuzichenj to tshs.....hahaha kwa tamaa..tajiri huingia kingi....na anakubali kutoa mamilioni kadhaa na kuwapa hao matapeli....huku wakimwachia sanduku lililojaa makaratasi tupu kama dhamana! Kabaya hawa jamaa, hutokomea kwa muda fulani hivi....wakipatikana kwenye simu...humwambia tajiri walikamatwa mara tu walipopata ile dawa, hivyo atume au awape zingine japo kidgo ili walete dawa...matajiri wengi hutoa tena na tena kwani wanajikuta njia panda!

Ushauri wangu kwa wakuu woote wa jf ni hiviii......ukiona muhindi hafanyi biashara fulani na wewe usiifanye...kama muhindi hatafuti haya majiko...basi na wewe usiyatafute! Ushawahi kuona muhindi anauza mkaa?
 
Mkuu me mwenyewe nimekuwa na wasiwasi sana na huyu m2 coz nimeongea nae na nimekuwa na mashaka juu yake so wana jf wajihadhari mapemaaa
 
anyway sijui wewe kati wa nani walio nipigia ila kama wewe ndo mtu wa mwanza then mimi jibu lagu ilikua uhakikishe kama halionikani mblele ya kiyo la pili iwe inanasa kiwebe ukaniambia ndio sasa office leto iko dar ungekuja offisini
tuonge ili uhakikishe na mashaka yako , sasa sijui wasiwasi umepataje au vile nilivo kwambia kaa nacho!!! mmh na kweli nimesubuka nilivo weka namba yangu kwenye post .,
so nimebadilisha namba for any dtls
inbox me
 
ImageUploadedByJamiiForums1373195588.999011.jpg
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1373195604.000465.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373195604.000465.jpg
    32.5 KB · Views: 185
kuna la zaidi!!!!!!!! mhhh please dont be like ur nick name
 
Kwenye biashara za aina hii huwa ni zakusadikika...nikuwa genge la watu fulani wanakaa mahali na kutengeneza DEMAND ya ishu fulani kama hilo jiko vile, ili hali wao ndiyo wenye hilo jiko! Hivyo basi, akijotokeza mwenye hela ambaye akaingia mkenge wa kuyatafuta haya majiko....hilo genge, litampa third party ili akampige huyo tajiri....na hata hicho kioo cha kupimia wanachosema hakiwi kioo cha kawaida, ni wauzaji tu wenye nacho ili kukusadikisha!

Nitoe mfano;- Kuna genge huwa linakuwa na hela (dollars) kwnye masanduku walizo zipaka aina fulani ya dawa hivi! Hizo dolla huchanganywa na vipande viiingi sana vya karatasi vilivyo katwa kama noti za dolla! Hivyo basi, kwenye sanduku moja lililojaa noti feki za karatasi nyeupe, unaweza kukuta kuna noti halali pisi tano hivi, nazo zimepakwa nini sijui na zimekuwa nyeupee kama karatasi!

Matapeli hawa hutengeneza vipeperushi kuonyesha kuwa hizo hela (kwenye sanduku) zilikuwa zitumwe na ubalozi wa USA kwenda Congo au mahali popote na zina thamani ya millions of dollars, ila wao wameziapata kwasababu bla bla bla....si unajua!? Pia wanayo dawa kidgo sana imebaki ili kusafisha baadhi tu ya pisi za dola....!

Hilo genge huanza kuzunguka ili kutengeneza DEMAND ya dawa ya kusafishia dola....na wakimpata tajiri humwambia kuwa hiyo dawa huuzwa milioni nyingi tu...pengine wanajuwa wapi dawa inapaitikana lakini hawana fedha....ili kumwaminisha tajiri, husafisha noti halali za dola na huenda naye wote kuzichenj to tshs.....hahaha kwa tamaa..tajiri huingia kingi....na anakubali kutoa mamilioni kadhaa na kuwapa hao matapeli....huku wakimwachia sanduku lililojaa makaratasi tupu kama dhamana! Kabaya hawa jamaa, hutokomea kwa muda fulani hivi....wakipatikana kwenye simu...humwambia tajiri walikamatwa mara tu walipopata ile dawa, hivyo atume au awape zingine japo kidgo ili walete dawa...matajiri wengi hutoa tena na tena kwani wanajikuta njia panda!

Ushauri wangu kwa wakuu woote wa jf ni hiviii......ukiona muhindi hafanyi biashara fulani na wewe usiifanye...kama muhindi hatafuti haya majiko...basi na wewe usiyatafute! Ushawahi kuona muhindi anauza mkaa?

Umenena vizuri mkuu, isipokuwa kwenye aya ya mwisho, una maana gani kama biashara hafanyyi mhindi na wewe usifanye? Na huyo dada anayetafuta haya majiko ni Mhindi kaka, sasa sjui unatushauri na sisi tuyatafute? Halafu usiponde mkaa, nina mfano wa jamaa mmoja alianza kuuza mkaa, gunia moja mpaka lilimtoa sasa hv ana kampuni ya usafirishaji (siyo stori!)!
Pamoja!
 
Kwenye biashara za aina hii huwa ni zakusadikika...nikuwa genge la watu fulani wanakaa mahali na kutengeneza DEMAND ya ishu fulani kama hilo jiko vile, ili hali wao ndiyo wenye hilo jiko! Hivyo basi, akijotokeza mwenye hela ambaye akaingia mkenge wa kuyatafuta haya majiko....hilo genge, litampa third party ili akampige huyo tajiri....na hata hicho kioo cha kupimia wanachosema hakiwi kioo cha kawaida, ni wauzaji tu wenye nacho ili kukusadikisha!

Nitoe mfano;- Kuna genge huwa linakuwa na hela (dollars) kwnye masanduku walizo zipaka aina fulani ya dawa hivi! Hizo dolla huchanganywa na vipande viiingi sana vya karatasi vilivyo katwa kama noti za dolla! Hivyo basi, kwenye sanduku moja lililojaa noti feki za karatasi nyeupe, unaweza kukuta kuna noti halali pisi tano hivi, nazo zimepakwa nini sijui na zimekuwa nyeupee kama karatasi!

Matapeli hawa hutengeneza vipeperushi kuonyesha kuwa hizo hela (kwenye sanduku) zilikuwa zitumwe na ubalozi wa USA kwenda Congo au mahali popote na zina thamani ya millions of dollars, ila wao wameziapata kwasababu bla bla bla....si unajua!? Pia wanayo dawa kidgo sana imebaki ili kusafisha baadhi tu ya pisi za dola....!

Hilo genge huanza kuzunguka ili kutengeneza DEMAND ya dawa ya kusafishia dola....na wakimpata tajiri humwambia kuwa hiyo dawa huuzwa milioni nyingi tu...pengine wanajuwa wapi dawa inapaitikana lakini hawana fedha....ili kumwaminisha tajiri, husafisha noti halali za dola na huenda naye wote kuzichenj to tshs.....hahaha kwa tamaa..tajiri huingia kingi....na anakubali kutoa mamilioni kadhaa na kuwapa hao matapeli....huku wakimwachia sanduku lililojaa makaratasi tupu kama dhamana! Kabaya hawa jamaa, hutokomea kwa muda fulani hivi....wakipatikana kwenye simu...humwambia tajiri walikamatwa mara tu walipopata ile dawa, hivyo atume au awape zingine japo kidgo ili walete dawa...matajiri wengi hutoa tena na tena kwani wanajikuta njia panda!

Ushauri wangu kwa wakuu woote wa jf ni hiviii......ukiona muhindi hafanyi biashara fulani na wewe usiifanye...kama muhindi hatafuti haya majiko...basi na wewe usiyatafute! Ushawahi kuona muhindi anauza mkaa?

Mkuu hapo kwenye Mkaa umenimaliza,

Ila unacho sema ni kweli kabisa, hapo hakuna cha Sijui jiko la mjerumani wala nini, ni ishu za kusadikika tu, Kuna ndugu zangu walikuwa wanafanya haya ma ishu ya kutafuta mara Jiko, mara Bilika mpaka sasa ni masikini tu,
 
Habari zenu
hapa mimi natafuta anaye uza madini kama tanzanite,
ruby,dhahabu,almasi na vingenevyo
lakini eshu langu ni (JIKO ) na vifa wa ugermani
e.g sahani, kisu, bakora, siniya, glasi
sasa alama ya jiko hii ni
jiko hilo lina alama ya simba wa wawili na mtende,au alama ya mzungu anaitwa kaisar ,juu ya kichwa chake kuna ndege ,halafu je ina alama" J".na . je hiyo jiko linanasa kiwembe .pia chukue hilo jiko uweke mbele ya kio kisha test je linaonekana kny kioo au alionekani?
kama halionekani basi ndo hilo!!!!
hii jiko moja bei yake kwanzia millioni10 hadi 50tsh
kuwasiliana na mie kuhusu madini na vifaa ya ugermani wa zamani contact me 0654167472 au kwa email yangu
swty-shosho@hotmail.com

Nimesikia habari ya pasi ya mjerumani, hivi hivi vitu ni kweli?
kuna mtu wa karibu anahangaika kufukua pasi hii ilifichwa na babu yake zamani, na anadai atakuwa bilionea, yeye kaongea habari za bilioni, nimemshangaa na ndoto hizi za kipuuzi, hebu sema vizuri is it serious au stori za kitaa tu.
 
Ni kweli kabisa and am serious !! kuna office kabisa kama uko tayari tuonane
 
pesa za tanzania zinatakiwa
shs5 trecta ya nyerere (1968-1978)
noti nyekundu ya shilingi 100 ya masai ameshika mkuki pembeni kuna redio ya 277 ,shs1 ya queen elizabet 1953, na shs 1 ya king george kwanzia mwaka 1940,41,42,43,45 only kama mnazo inbox me
 
Wakati tunakua walilizwa watu wengi hadi mapadri. Walitengeneza demand ya dhahabu na mercury kuisafishia. Wao walikuwa na hayo madini feki kisha waliwaaminisha watu kuwa yananunuliwa bei mbaya ila wao hawajui wauzaji, ukijifanya tu kuulizia wanamtuma mtu wao unanunua kwa hela nyingi. Urudi kuwatafuta wale wateja weshapotea...ukichunguza kumbe feki. Mchezo wa siku nyingi sana huu.
 
Ndugu yangu ndo kazi zake utapata kila unachokitaka kuanzia madini hadi antique.
0655070733 Hassan Bazi
 
Nimesikia habari ya pasi ya mjerumani, hivi hivi vitu ni kweli?
kuna mtu wa karibu anahangaika kufukua pasi hii ilifichwa na babu yake zamani, na anadai atakuwa bilionea, yeye kaongea habari za bilioni, nimemshangaa na ndoto hizi za kipuuzi, hebu sema vizuri is it serious au stori za kitaa tu.
habari nzuri ni kwamba hivi vitu ni kweli viko,habari mbaya ni kwamba ukitaka kufa vichukue.........
 
pesa za tanzania zinatakiwa
shs5 trecta ya nyerere (1968-1978)
noti nyekundu ya shilingi 100 ya masai ameshika mkuki pembeni kuna redio ya 277 ,shs1 ya queen elizabet 1953, na shs 1 ya king george kwanzia mwaka 1940,41,42,43,45 only kama mnazo inbox me

Jinga kweli wewe kila siku unakuja na dili mpya, ukiulizwa ofisi zenu zipo wapi unasema tu ziko dar, ila kusema dar sehemu gani husemi sasa kwann tusifikiri kuwa we ni TAPELI LA KIHINDI, weka details zako ueleweke, ukileta utapeli wako tutakuweka ndani mara moja.
 
Toa maelezo ya kutosha tusijepoteza ndugu.
mkuu hivi vitu ni treasure waliachaga wajerumani kipindi cha ukoloni. wajerumani kwa uchawi ni hatari ,kuna watu waliuwawa kama kulinda hizo treasure na walifanya mauchawi yao ya kijerumani.ndani ya hizo treasure kuna dhahabu,macheni,pete,taa ya chemli,pasi,rupia,n.k.hizo treasure ziko nyingi sana hapa tanzania,karibia watu wote waliojaribu kuchukua walikufa.ukikaribia hizo treasure unakutana na mauzauza ya ajabu hautasahau kamwe,kuna nyoka wa dhahabu wakubwa na wahatari wanalinda hizo mali,simba, chui,kwa kifupi ni mauzauza kwani kuna wengine walikutana na nyoka anaongea,tembo ana kichwa cha simba...........wajukuu wa wakoloni ndio wanakujua kuyachukua kwa sababu wanajua maneno yaliyotamkwa na madawa yao.nasikia ukiwa na hiyo pasi au chemli unamabillioni.ukweli kabisa wengi wamekufa kisa hizo mali.
 
Hao wa germany huwa wanakuja kwangu kuchukua dawa so nitajie zilipo hizo mali nikazikombe
 
Back
Top Bottom