Madini na jiko za ugermani ya zamani

Madini na jiko za ugermani ya zamani

mkuu hivi vitu ni treasure waliachaga wajerumani kipindi cha ukoloni. wajerumani kwa uchawi ni hatari ,kuna watu waliuwawa kama kulinda hizo treasure na walifanya mauchawi yao ya kijerumani.ndani ya hizo treasure kuna dhahabu,macheni,pete,taa ya chemli,pasi,rupia,n.k.hizo treasure ziko nyingi sana hapa tanzania,karibia watu wote waliojaribu kuchukua walikufa.ukikaribia hizo treasure unakutana na mauzauza ya ajabu hautasahau kamwe,kuna nyoka wa dhahabu wakubwa na wahatari wanalinda hizo mali,simba, chui,kwa kifupi ni mauzauza kwani kuna wengine walikutana na nyoka anaongea,tembo ana kichwa cha simba...........wajukuu wa wakoloni ndio wanakujua kuyachukua kwa sababu wanajua maneno yaliyotamkwa na madawa yao.nasikia ukiwa na hiyo pasi au chemli unamabillioni.ukweli kabisa wengi wamekufa kisa hizo mali.

Nashkuru mungu kuwa watu eashaanza kujua kuwa hii vitu ni treasure!!!!!
 
Nashkuru mungu kuwa watu eashaanza kujua kuwa hii vitu ni treasure!!!!!

Wewe bwana ni tapeli tuu ukubali usikubali, kwann hutaki kusema zilipo ofisi zenu? NA HAPA BILA KUSEMA ZILIPO OFISI ZENU NDIO TUTAJUA WEWE NI TAPELI USIEKUWA NA AKILI, MJINGA WEWE.
 
Nashkuru mungu kuwa watu eashaanza kujua kuwa hii vitu ni treasure!!!!!
Hii inaitwa mitego Mshibuka mi mi unipati ng'o wewe mwenyewe unabadili avartar kujipigia debe mimi siingii katu!
 
Ndugu zangu naomba niseme Kitu Hapa kuhusu Hizi Mali kale... Kiukweli kabisa hizi Mali Zipo nying tu na Wapo waliofanikiwa na Weng Wao ni wale WENYE uwezo kifedha Sababu wana nyenzo za kufanyia Kazi sasa Mimi na Wewe ambao tunategemea mishahara au kulima au vibiashara vyetu vidogo vidogo Ndio tunaopata tabu zaid n usipokuwa makiniunaweza ukajikuta ni ombaomba Kwa nduguzo na marafiki kila siku...KUNA WATU AMBAO HAWANA NIA NJEMA KABISA NA HAWA NDO WAPO WENGI SANA NA NDIO WANAOTIA WATU UMASKINI ZAID WALIVYOSASA HAO KAZI YAO NI KUKUPOTEZEA MUDA NA GHARAMA TU..KUNA AMBAO MALI WANAZO KWELI NA AMBAO NI WASANII NA MTAONGEA VIZUR KWA SIMU UNAPOELEKEA KUMFUATA HUKO VIJIJIN NDIPO VIOJA VINAPOTOKEAANAKUONYESHA MZIGO NA UNATHIBITISHA UNAKUTA UKO SAWA SASA KWA KUJUA KUWA USHAINGIA KING ANAANZA KUDAI PESA KWA NJIA ANAZOZIJUA WW KAMA NI MGUMU WA KUTOA PESA BASI KAZI ITAISHIA HAPO NA KAMA HUJUI KITACHOENDELEA BASI UTAPOTEZA PESA ZAKO NA HAKUNA UTACHOAMBULIA HATA KAMA MTASAFIRIBASI NJIAN UTAACHWA
 
Hvyo umakini ni MUHIMU Hivi kama mtu anania kweli ya kufanya Kazi na anauhakika na Kitu chake unamwambia Aje sokoni na mtamgahramia kila Kitu afikapo Hadi pale mnapomaliza Kazi anashindwa nini kuja sokon.. Zaid atakupa Sababu nyiiingi zisizo na msingi na Wakat tunajua Fika mashart ya Mali hizi kale za kijeruman... Wengine watataka uwatumie nauli..TUMA sasa uone kama mtajuana tena...watu WENYE hii mizigo kama hawez kushindana au kuidhibit nguvu za Mali aliyonayo basi HAKUNA kitachowezekan Sababu Hivi vitu vinamazindiko makubwa na mmiliki anatakiwa Ajue ni Kwa namna gani anakidhibit Kitu chake ndipo atafanikiwa kimaisha
 
Kwa mnunuzi aliye serious ani inbox. Sitaki siasa kwani vitu vipo tatizo mnunuzi wa kweli.
 
Kuna utapeli katika hili
Kuna mtu wangu wa aribu ashatapeliwa
 
Back
Top Bottom