MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Nasikia haya madini yapo hapa Tanzania pia , Kusini kule na kaskazini huko.Yawezekana afrika ndio jehanam penyew[emoji119]
Uliyapatia wapi Ndugu?mkuu acha masihara mimi nina mawe kama hayo nimeweka tu nyumbani huko napenda kuyashangaa nikiwa huko, nipe ramani ya soko basi nivute rolls royce kama ya mtoto kutoka tandale sheikh mansour!
Uliyapatia wapi Ndugu?
27m USD per grammkuu acha masihara mimi nina mawe kama hayo nimeweka tu nyumbani huko napenda kuyashangaa nikiwa huko, nipe ramani ya soko basi nivute rolls royce kama ya mtoto kutoka tandale sheikh mansour!
geita ndani ndani huko jirani na kijiji chaitwa nyarugusuUliyapatia wapi Ndugu?
Kazi kweli kweliPicha lina anaanza....
Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika ,nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO ( Borno State ) na kugundua madini aina ya CALFORNIUM...
Kisha wanaamua kununua eneo kuuuubwa sana huku wakifungua huduma za kijamii kama mashule na mahospital. Then wanaanza kutoa huduma bure kwà watoto wanaoanza shule na kwà wazee matibabu yanakua ni bure kabisa.
Kwenye upande wa mawasiliano:- jamaa wakawa hawatumii simu zenye chip , bali wakawa wanatumia simu ambazo zipo connected directly kwenye satellite + radio calls. Walipendelea sana kufanya Kazi zao usiku huku mchana wakiwa busy kutoa huduma za kijamii.
Mara ghafla , wakastukiwa na baadhi ya watu weusi magenius..waafrika wenzetu...wakaamua kuwatuliza kwà kuwapa pesa ndefu + kuwapa exposure ya kwenda USA.
Jamaa wanarudi na kuleakisha details....then mambo yanakua moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu weupe wanaamua kutengeneza kundi liitwalo BHOKO HARAM...na kulifadhili kwà kulipa fedha + weapons etc , ...
ITAENDELEA!.......
Note: Imegundulika kuwa, wale watoto walikua wakifundishwa mambo ya USHOGA, na asilimia 98% ya watu waliokua wakipata matibabu pale wengi wana matatizo ya figo , cancer, ukosefu wa nguvu za kiume, HIV na magonjwa makubwa makubwa uyajuayo wewe. View attachment 2651116
hapo naona cost of producing ndio hiyo 27m/g pengine hiyo inahusu gharama zote na processing[emoji848]27m USD per gram View attachment 2651134
Napafahamu huko, kama unaelekea KAKOLA au sio?geita ndani ndani huko jirani na kijiji chaitwa nyarugusu
Africa ni Tajiri sanaKazi kweli kweli
Yes.hapo naona cost of producing ndio hiyo 27m/g pengine hiyo inahusu gharama zote na processing[emoji848]
Unatoa Siri tena mkuu! Watavamia huko na kutimua watu, Siri kama hizi hazitolewi kienyeji!geita ndani ndani huko jirani na kijiji chaitwa nyarugusu
haswaaNapafahamu huko, kama unaelekea KAKOLA au sio?
hahaha watu huko hawachimbi hayo madini wao wanatafuta dhahabu, mimi ni vile tu hupenda kuokota mawe ya ajabu ajabu nikiwa location za namna hiyo.Unatoa Siri tena mkuu! Watavamia huko na kutimua watu, Siri kama hizi hazitolewi kienyeji!
(kama ni kweli lakini)?!
Majuzi wachina waliuliwa kinyama wakiwa site nchini Congo na kikosi maalum cha Usalama.....baada ya kugundulika jamaa hawakuwa wakandarasi bali walikua wakichimba madini ....Unatoa Siri tena mkuu! Watavamia huko na kutimua watu, Siri kama hizi hazitolewi kienyeji!
(kama ni kweli lakini)?!
Yatunze sana hayo mawe.hahaha watu huko hawachimbi hayo madini wao wanatafuta dhahabu, mimi ni vile tu hupenda kuokota mawe ya ajabu ajabu nikiwa location za namna hiyo.
Mbona kama nayafahamu haya mawe? Nilishawahi kuyaona Chunya na watu wakule wanakwambia ukiona haya yamejaa hapo ujue dhahabu pia ipo. Labda yawe nimeyafanishaPicha lina anaanza....