madingi wengine bana

Imekaa sawa, kumbe ukitaka kula lazima uliwe kidogo. JK
 
Ila lina uzoefu, we angalia ulipo mkono wake wa kulia!
 
Hilo dingi sio **** linajua jinsi ya kula maisha hicho kitambi sio cha kula vizuri ni roho imeridhika huo mkono kuna mahali umeshika ndio maana dingi kafurahi huoni anavyosinzia kuashiria hayupo kiroho ni kimwili tuu
 
Akifika kwa mke wa ndoa hata maji ya kuoga hawekewi, kelele kibao, maudhi ya kila aina. Acha ajilie utamu kwa raha zake!
 
Huyo nyumba ndogo kaweka kikuku mguu wa kushoto inamaana mzee wa watu anapewa ndogo!!
 
Zee zima lina mamvi mpaka kwenye makalio halafu eti unaitwa Baby!
 
mmmh kitu tigo k kwa mkeo ndio kauli mbiu za nyumba ndogo...hakunaga piliody cjui namaliza kesho mmh kazi kweli nyumba ndogo raha sana.
 
Sasa naweza sema siku imekamilika lol! nimecheka mpaka basi ingawa, umechora wewe nini mtumishi!?
 
Mkuu, umenichekesha mpaka nimepaliwa na ubwabwa:A S shade::lalala:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…