ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,059
- 40,281
Noma
People who know their space and use it accordingly.Kuna wengine wakiwa nyumbani wakimya ila kazini wanaongea sana na marafiki zao wanatoa hoja mbalimbali je huyu ni nani
Personality is the unique, relatively stable pattern of thoughts, feelings, and behaviors that defines how you interact with the world.What is personality? Is it not conditioned?
Got it sir.Personality is the unique, relatively stable pattern of thoughts, feelings, and behaviors that defines how you interact with the world.
You are entirely right to question if it is conditioned.
To a massive extent, personality is highly conditioned.
However, psychological science reveals that it is not only conditioned...! it is a dynamic mix of biological programming and environmental conditioning.
View attachment 3605102Got it sir.
Swala ni moja tu una tafuta mnaendana unaenda nae simple tu maisha mafupi tufurahie
Urefu au ufupi wa maisha unategemea sana mtazamo, matendo, na jinsi mtu anavyotumia muda wake kila siku.Swala ni moja tu una tafuta mnaendana unaenda nae simple tu maisha mafupi tufurahie
Sawa sawaUrefu au ufupi wa maisha unategemea sana mtazamo, matendo, na jinsi mtu anavyotumia muda wake kila siku.
Watu wengi husema "maisha ni mafupi" wanapotaka kuhalalisha maamuzi ya haraka au starehe, lakini ukweli ni kwamba maisha yanaweza kuwa marefu na yenye nafasi ya kutosha ikiwa yataishiwa kwa malengo na mipango thabiti.
Wewe ni mimi 😅Sometime introvert sometimes extrovert.
MIMI NI NINANI!?
Omnivert: Huyu ana tabia za extremes zote mbili kulingana na siku au mood yake.Sometime introvert sometimes extrovert.
MIMI NI NINANI!?
Hakuna ukweli wowote wa kisayansi unaothibitisha kuwa idadi kubwa ya watu wenye tabia ya utulivu (introverts) wana kundi la damu la group O. Huu ni uvumi na imani ya kijamii ambayo haina ushahidi wa kitabibu.Mkuu! Nimewahi kusikia majority ya hawa watu wana damu group O?
Kuna ukweli wo wote?
Hali ya mabadiliko ya haraka ya hisia (mood swings) haitofautishi kama wewe ni introvert au extrovert, kwani introverts na extroverts wote wanaweza kupitia hali hii. Kipengele cha kuwa introvert au extrovert kinahusu zaidi wapi unapata nguvu (energy)..!!! introverts wanapata nguvu wakiwa peke yao, na extroverts wanapata nguvu wakiwa na watu.Wewe ni mimi 😅
Mood yangu anytime ina change
Ndio maana naonaga ni bora zaidi kua lonely
Hata sijui niko wapiHali ya mabadiliko ya haraka ya hisia (mood swings) haitofautishi kama wewe ni introvert au extrovert, kwani introverts na extroverts wote wanaweza kupitia hali hii. Kipengele cha kuwa introvert au extrovert kinahusu zaidi wapi unapata nguvu (energy)..!!! introverts wanapata nguvu wakiwa peke yao, na extroverts wanapata nguvu wakiwa na watu.
Hapa ungefanya Reference ya N'golo Kante....Yeah na childhood trauma zinachangia mtu ambaye hakuzaliwa introvert ajikute anakuwa. Anaanza kuwithdrawal na kujikuta muda mwingi anapenda kuwa mwenyewe. So kuna waliozaliwa introvert na kuna waliodevelop hiyo personality kutokana na mazingira.
Msongo wa Mawazo (Stress)..!! Kazi, masomo, au changamoto za maisha huchosha ubongo na kusababisha hasira au ghafla kukosa amani.Hata sijui niko wapi
But kua mwenyewe ni chaguo langu bora zaidi sipendi kelele
Nikiona dalili za kelele na kukosa amani hua nachagua kua mwenyewe hata kama kwa maumivu
Hii quote yako na nilichondika ni mbingu na ardhiMsongo wa Mawazo (Stress)..!! Kazi, masomo, au changamoto za maisha huchosha ubongo na kusababisha hasira au ghafla kukosa amani.
Ohooo sawaUkosefu wa Usingizi..!! Kulala masaa machache kunaathiri uwezo wa ubongo kudhibiti hisia zako siku inayofuata..!!!