Sawa kabisa mkuu.kwa kuongezea twapaswa kufahamu kuwa genius wa hesabu hatakuwa genius Kwenye mziki.Genius wa udakitari hatakuwa genius katika somo la uchumi.kipimo cha IQ kinamaanisha kwa mfano huo kuwa WaPo watu wenye uwezo wa Vyote hivyo kwa pamoja na huyo wanampa asilimia mia.tujiulize Je ni kweli mtu wa aina hiyo yupo?ukweli ni kwamba hakuna.pia maswali yanayoulizwa mengi yanahusiana na utamaduni wa sehemu husika.pia malezi
,elimu na mengineyo mengi.kwa kifupi kipimo hicho ni cha kufikirika hakina Uhalisia wowote.
,elimu na mengineyo mengi.kwa kifupi kipimo hicho ni cha kufikirika hakina Uhalisia wowote.