Madhara ya Vumbi la Congo

Madhara ya Vumbi la Congo

Siku vumbi likikosekana utaanza visingizio ichezee tu itaamka, ipe muda kidogo🤣👇
20210713_174220.jpg
 
Madhara makubwa ni kukosa confidence kama huna vumbi. Pili ukimzoesha mtu vumbi siku kama halipo atajua ushapiga nje au huna hisia nae tena au atajua umepungua uwezo. Hivo unakuwa mtumwa wa vumbi kila mechi.

Tangu nianze kutumia vumbi nishatumia vichupa viwili tu vya @ 5000. Huwa hainipi mzuka unakuwa kama unamfurahisha mtu, ni la kutumia kwenye emergency.
 
vumbi la kongo ni kiboko ya masista duu, kiboko ya wale wa 'tuma na ya kutolea'

kiboko ya wale wapiga vizinga, unasugua mpaka unanusa harufu ya vitumbua kmmmk
Lengo la tendo ni nn? Kupata raha au karaha?
What needed is satisfactory kwa both sides, less or excessive ni unsatisfactory. Unaeza sugua kumtoa kwenye mood asikojoe anaeza cheza nae kwa touching, kisses and other stuff akakojoa mara kadhaa na aka-enjoy hardly na lastly ukaja ukazama ukapiga misuguo yako kadhaa ya kimahaba na ya kuridhisha ukabaki kuwa mwanaume bora mwenye uwezo mkubwa wa kumkojolesha bibie... mapenzi siyo ya kukamiana namna hiyo kama kupasua miamba. Love is just an art ubunifu unatakiwa sana.
 
muhimu nikojoe mimi sio yeye,
 
Kama huna nguvu au una njaa usitumie LITAKUUA
Mi nikinywa pombe hizi dry ndio madumu kwelikweli

Halafu mi sijawahi kutumia majuzi nimelinunua kwa mara ya kwanza nimepaka sioni dalili sijui kuchoma kama limeingia

Nimeenda kwenye game hamna kilichobadilika uwezo wangu ni ule wa siku zote hivi shida inakuwa ni nini ?

Au nakosea kwenye upakaji
 
Madhara makubwa ni kukosa confidence kama huna vumbi. Pili ukimzoesha mtu vumbi siku kama halipo atajua ushapiga nje au huna hisia nae tena au atajua umepungua uwezo. Hivo unakuwa mtumwa wa vumbi kila mechi.

Tangu nianze kutumia vumbi nishatumia vichupa viwili tu vya @ 5000. Huwa hainipi mzuka unakuwa kama unamfurahisha mtu, ni la kutumia kwenye emergency.
vumbi lina maajabu gani mzoefu tueleze
 
Mi nikinywa pombe hizi dry ndio madumu kwelikweli

Halafu mi sijawahi kutumia majuzi nimelinunua kwa mara ya kwanza nimepaka sioni dalili sijui kuchoma kama limeingia

Nimeenda kwenye game hamna kilichobadilika uwezo wangu ni ule wa siku zote hivi shida inakuwa ni nini ?

Au nakosea kwenye upakaji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee wa Manzese
 
Back
Top Bottom