Madhara ya Vumbi la Congo

Madhara ya Vumbi la Congo

Mi nikinywa pombe hizi dry ndio madumu kwelikweli

Halafu mi sijawahi kutumia majuzi nimelinunua kwa mara ya kwanza nimepaka sioni dalili sijui kuchoma kama limeingia

Nimeenda kwenye game hamna kilichobadilika uwezo wangu ni ule wa siku zote hivi shida inakuwa ni nini ?



Au nakosea kwenye upakaji
Kadiri umri unavyosonga nguvu inapungua
 
Siku ukilikosa hilo vumbi utakosa kujiamin na itakufanya uwah kutoa wazungu Kisha athuman kichwa wazi atanywea na kuwa mdogo Kama betri ya remote sababu atajiona yupo kwenye vita kali bila siraha..wakati huo wewe utakuwa anampigisha Story manzi wako ili kuzuga..
 
Madhara,
Ni kwamba vumbi linapunguza utamu Kwenye kichwa Cha ****.

Hivyo kuchelewa kukojoa na hata utapohitaji kukojoa, utakojoa Lile bao tamu la asili.

Zaidi zaidi utakojoa ili upumzike kwa KERO za uchovu wa kupump na Maumivu ya joint.

NB: Vumbi halipunguzi wala kuongeza Nguvu za kiume.
 
Vumbi la Kongo halina uhusiano na kusimama kwa uume.

Tujitahidi kuvijua vitu kabla ya kupotosha wasiojua kama sisi.
Nakaribisha maswali
Vumbi la Kongo linauhusiano na uume kusimama kw muda mrefu bila kusinyaa.

Kuna wanaume wengine bila Cha mkongo wakipiga kimoko tu jamaa kalala..so inakuwa kazi ya manzi kuishikashika ili iamke ila ukipaka Cha mkongo muda wote iko H+ had manzi anaomba poo!
 
Kama mada inavyojieleza

Naomba kujuzwa kinaga ubaga madhara ya kutumia vumbi la Congo

Kwa upande wa Viagra ni rahisi kudead hasa show ikiwa Kali

Je, kwa vumbi yapi madhara yake?
Unaweza ukapiga mashine na dushelele ikalala humo ndani kabla ya mshindo.
Evidence based, tangu hapo nikaacha.
 
vumbi lina maajabu gani mzoefu tueleze
Maajabu yake yapo kwamba linakupa ganzi hivo hauwi sensitive kwenye kichwa cha Abdallah. Kwa sababu hiyo unaenda muda mrefu kwani ili ufike hitimisho lazima msuguano uchochee zile nerve endings za kichwa. Sasa ni kama vumbi lunazuia reflex action, ni kama ganzi pale. Hata ukifinya huumii sana, ukipaka jingi hata kuhitimisha unaweza usifike au ukalazimisha akili ufike.
 
Vumbi la Kongo halina uhusiano na kusimama kwa uume.

Tujitahidi kuvijua vitu kabla ya kupotosha wasiojua kama sisi.
Nakaribisha maswali
Vumbi la Congo linauhusiano moja kwa moja na kusababisha Erectile dysfunction, any repeatesed use sexual enhancing drugs at some point zinapelekea kwenye hilo tatizo
Screenshot_20210713-213825_Chrome.jpg
 
Vumbi la Kongo huwa natumia kwa yule mwanamke aliyenisumbua sana
Inshort akiingia kwenye kumi na nane zangu, huwa namsugua mpaka harufu ya Biriani inatokea
 
Kama mada inavyojieleza

Naomba kujuzwa kinaga ubaga madhara ya kutumia vumbi la Congo

Kwa upande wa Viagra ni rahisi kudead hasa show ikiwa Kali

Je, kwa vumbi yapi madhara yake?
Muuliza swali wewe ni ke au me maana jibu lako ni rahisi mpaka jinsia yako ijulikane
 
Nimeshajizoesha mazoez yangu kula vizuri
Ngisi,pweza,samaki changing,karoti,bamia mbichi,korosho,karanga,mbata,dagaa bichi,tende,asali,maziwa

Ndio lishe hzo nikikamata pisi Kali napiga na Nina viunga mpaka anasema pooo

Mwanaume kutumia vumbi la Congo Ni kuto kujiamini na hauna uwezo wa kuhimili hata 5mins Ni aibu na fedheha

Badilikeni na mifumo ya lishe
 
Kizazi hiki bana. Early 20s vijana mnahangaika na vumbi la Kongo. Mkija kugonga 50 huko mtakuwa mnatumia nini? Simenti ama? Mnashangaza sana!
IMG-20210615-WA0062.jpg
 
Hii yote ni kutafta kumridhisha mwanamke tu? 😂

Aisee mie bado sana kwa kweli hayo mavitu sio mazuri kujizoesha nayo yatawaletea addiction siku huna vumbi jua utaishia kudhalilika tu!
 
Hii yote ni kutafta kumridhisha mwanamke tu? [emoji23]

Aisee mie bado sana kwa kweli hayo mavitu sio mazuri kujizoesha nayo yatawaletea addiction siku huna vumbi jua utaishia kudhalilika tu!
jf saizi maboya kibao na mada za kishamba
 
Back
Top Bottom