Madhara ya video za ngono na picha uchi katika imani.

Madhara ya video za ngono na picha uchi katika imani.

Kuna videos mpya za sungura tope wawili.

Mmoja anajiita Kipira Line 2 na mwingine anajiita Gusa Unase.

Huyu Gusa Unase akaulizwa kwahiyo utumie jina la Gusa Unase Line 2? Akajibu Line 2 sa mi sifirani
Chibu Ndenga
 
Habari za asubuhi wana jf, PICHA ZA UCHI au VIDEO ZA NGONO hivi ni vitu ambavyo vinachukua nafasi kubwa katika ubongo wa binadamu ambapo muda mwingine huifanya akili kua polepole katika kutafakali kitu chamsingi na chenye manufaa kwa ujumla.
Uzi mfuuuuupi kishenzi haya basi kabla ya video kulikua na picha miaka hio kabla hujazaliwa hata Baba na babu yake Babu yako na Babu yake bado hawajazaliwa umeshawahi kuhesabu namba za kirumi ila haujui maana yake? Sasa ngoja nikupe maana ya Warumi

Screenshot_20260630_084907.jpg

Screenshot_20260630_084508.jpg
 
Back
Top Bottom