Madhara ya ulaji wa chips

Madhara ya ulaji wa chips

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
183,582
Reaction score
1,105,383
1470163589667.jpg

Chukueni tahadhari!
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
 
Kwahiyo mkikataa mchele viazi nk mtakula lami

Dona harage hamliwezi
Huyo anajifaragua tu. Eti asile mchele, viazi na vitu vingine atakula nini? Sumu za kwenye makopo kutoka Afrika Kusini kwenye masupamaketi uchwara? Na wangapi wanaweza kumudu hizo sumu za supamaketi? Anachekesha!
 
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Hehehehe dah
 
N
ulitaka tuanzishe shindano la kula mlundikano wa ugali asubuhi?then mbona afya zenu ziko ovyo sana kulinganisha na hao wa chips?
Nyie MNA afya gani? Vitambi vya chipsi? Soma gazeti hilo mada ikuingie.
 
Back
Top Bottom