Madhara ya mtoto kulelewa na 'single mother'

Madhara ya mtoto kulelewa na 'single mother'

Iam raised by a single parent "Black woman" sio wote wako ivyo
Tusidanganyane mtoto yeyote aliyelelewa na mwanamke pekee ikiwa baba ni mzima wa afya na walitengana kwa ugomvi huo mtoto hawezi kuwa sawa hata siku moja....!
 
hoja yako inawezekana ikawa kweli au uongo
wapo waliolelewa na wazazi wao wote halafu wakawa watu wa hovyo hovyo
Ukiona hivyo wakulaumiwa hapo ni baba wala si mama wala mtoto
 
Nakubaliana na wewe kwani kuna wazazi wengine wapo wote ila mmoja hahusiki kwenye malezi yupo busy au mtoto yupo boarding mnalelewa na Teacher Ayubu!Ila nakubaliana na mtoa mada kuna tabia chache ambazo tuliolelewa na single mother tunakua nazo ni rahisi kutujua;kwa wanaume tukioa wengi wetu mama zetu wanatuamulia mambo mengi (hili mimi nimeli control lilileta shida) na kwa wanawake wanakua hawaamini sana waume zao kufanya nao maendeleo
Asante Mkuu
 
Nijuavyo mtoto wa kiume hua anasumbua akifika age fulani kama hamna baba au mwanaume wa kuongea nae mara kwa mara. Mambo ya kuchaguliana mke hata wangekua wazaz wawili kma ndio tabia ya ukoo itakua ivyo kila siku
 
Tusidanganyane mtoto yeyote aliyelelewa na mwanamke pekee ikiwa baba ni mzima wa afya na walitengana kwa ugomvi huo mtoto hawezi kuwa sawa hata siku moja....!
Hawez kua sawa atakatika mikono au akili?
 
only ticha na nesi ndio wanaolea watoto wao vizuri
waliobaki ni wa kubahatisha sana kwenye malezi bora
Mtoto ni lazima ajue mstari kati ya kuoendwa na kuonywa. Akifanya kosa uwe firm na kumwambia hapa hapana si sahihi na aelewe mzazi hapendi hii lakini baada ya hapo muongee vizuri. Hii manesi na walimu wanafundishwa. Nesi lazima ujue kumhandle mgonjwa wako na mwalimu mwanafunzi wake pia
 
Hawez kua sawa atakatika mikono au akili?
Hawezi kuwa sawa kiakili hata kama ana mafanikio lakini Kuna mahali lazima atakua hayupo sawa na aliyepata malezi ya wazazi wote
 
Hawezi kuwa sawa kiakili hata kama ana mafanikio lakini Kuna mahali lazima atakua hayupo sawa na aliyepata malezi ya wazazi wote
Mmmh. Inabidi wasomi wachukue hii kwa kufanyia research zao
 
Nijuavyo mtoto wa kiume hua anasumbua akifika age fulani kama hamna baba au mwanaume wa kuongea nae mara kwa mara. Mambo ya kuchaguliana mke hata wangekua wazaz wawili kma ndio tabia ya ukoo itakua ivyo kila siku
No!single mothers wako overprotective inapokuja kwenye ndoa za watoto wao wa kiume na mara nyingi wanataka kuendesha nyumba za watoto wao especially kama alimlea mwanae kwa shida,yaani wanakua kama na wivu ule kama wa mtu na mpenzi wake hasa akiona mapenzi yamehamishiwa kwa wife (safari za kumuona na mawasiliano ukioa yanapungua automatically hasa ukiwa na watoto);na mara nyingi huwa wakwe zao wasipokua makini watagombana daily
 
Tusidanganyane mtoto yeyote aliyelelewa na mwanamke pekee ikiwa baba ni mzima wa afya na walitengana kwa ugomvi huo mtoto hawezi kuwa sawa hata siku moja....!
Huo ndio Ukweli
 
Tusidanganyane mtoto yeyote aliyelelewa na mwanamke pekee ikiwa baba ni mzima wa afya na walitengana kwa ugomvi huo mtoto hawezi kuwa sawa hata siku moja....!
Hakuna binadamu aliye perfect mkuu;tunao kibao kitaa waliotoka kwenye family complete ni mateja,Machangu na mashoga
 
Usi generalise kuna single mother wanalea watoto kwa discipline hasa umkute mama ni headmistress shule.
Na conclusion juu, eti "Hivi single mothers hamuoni maamuzi yenu yanapelekea kuwa na jamii inayopelekea mafunzo ambayo ni adha kwa jamii ya kesho?"
 
Hakuna binadamu aliye perfect mkuu;tunao kibao kitaa waliotoka kwenye family complete ni mateja,Machangu na mashoga
Ukiona hivyo jua baba zao wana tabia za kimama, wameshindwa kuwaongoza watoto zao vyema
 
Kulelewa tu na mzazi mmoja wa kike ilihali Baba yu hai ni tatizo
Yaani ukiona mwanaume anaruhusu damu yake kulelewa na mwanamke pekee jua huyo mwanaume ana umama mwingi,...

Hivyo hana sifa tena ya kuitwa mwanaume, mwanaume wa kweli hakwepi majukumu kwa wanawe
 
Naona hujanielewa soma tena ukiwa umetulia utaelewa Ila fuatilia chanzo cha matangazo kwenye miili ya Watoto wako uone kama siyo ukosefu wa usimamizi na malezi ya msingi kwenye ngazi ya familia. Ukiwa na akili timamu huwezi ona mtoto wako amejiroa mitato shingoni au kwenye matiti ukachekelea kama huna akili timamu... Baba hawezi kubali huo ujinga
Mkuu,acha kufanya majumuisho yasiyo na mashiko hata chembe.

Kuna watu wengi sana nawafahamu,wamekulia kwa baba na mama zao lakini waliishia kutoroka nyumbani kwasababu za uhuni na kwenda kwa wanaume.

Chukulia mfano Agnes Masogange(Mungu ampumzishe)yeye si aliondoka kwao?si aliharibika akiwa na baba yake?

Kuna wanawake wazuri tu wapo mitaani huko wamelelewa na baba na mama lakini ni wahuni wazuri tu.

Tatizo umekaa na kuangalia watu wachache ambao wamepata fursa ya kumulikwa kila wafanyalo na kamera ndio ukaja na majumuisho batili.
 
Ukiona hivyo jua baba zao wana tabia za kimama, wameshindwa kuwaongoza watoto zao vyema
Hamueleweki;kwa hiyo amelelewa na single mother kwa vile baba yake ana umama?mazingira mtoto anayolelewa yana matter nenda uswahilini wengi wanatoka familia kamili ila watoto ambao wazazi hawako strictly watoto wamewehuka na kuna wengine wamelelewa na mjomba ila wana tabia nzur
 
Mwanamke ni kama jalala kila bovu tunatupiwa sisi,hata tunaolea watoto na baba zao wakikosea tu lawama zote tunatupiwa sie Mfano ni pale mtoto anapoambiwa "huna akili kama mama yako"
 
Mwanamke ni kama jalala kila bovu tunatupiwa sisi,hata tunaolea watoto na baba zao wakikosea tu lawama zote tunatupiwa sie Mfano ni pale mtoto anapoambiwa "huna akili kama mama yako"
Pole kama unatukanwa hivyo? Lakini kama anakwambia kiutani unamchunia tu maisha nayasonga
 
Pole kama unatukanwa hivyo? Lakini kama anakwambia kiutani unamchunia tu maisha nayasonga
Thubutu yake teh teh teh! ila nakumbuka sana ZAMANI tulipokua tukikosea basi baba huongea hayo kwa hasira lakini tulipokua tunafanya vzr mfano shuleni alikua akitufananisha akili na za kwake
 
Back
Top Bottom