Hao uliwataja kaa kimya huyajui maovu hao!Nakubaliana na wewe mifano ya kawaida tu Ona Hawa wanaotukana Insta, Ona Diamond, Ona Lulu, Ona Wema, Ona Hamisa, Ona Agness hawa kwa uchache na ulinganishe na Hoyce, Jacklyne, Jokate, Ona Faraja,
Mifano ni mingi Yaani
Kuna watu wamelelewa na wazazi lakini majanga matupu!hoja yako inawezekana ikawa kweli au uongo
wapo waliolelewa na wazazi wao wote halafu wakawa watu wa hovyo hovyo
Umeona eeehh!yaani hawa wakaka baadhi humu ndani wana mambo ya ajabuMbona unalaumu wanawake tu ndo walijipa.mimba wenyewe hafu kwanini nyie wanaume u single.mother wa wanawake uwaumize, acheni ujinga hujui wengine tumelelewa na single daddy, acheni lawama
Wapo wengi mnoo!yaani yeye kachukuliwa hao tu wachache lakini hamzungumzii tunda,hamzungumzii Wolper,hamzungumzii aunty..Wapo walioshindikana MTU akue vzuri lazima umlee katika misingi ya utu, dini na tabia njema hawezi kuiacha had uzeeni. Kuna wengi wamelelewa na single mom wako vzuri tu na kuna wazazi wote wamelelewa ila wameshindikana
AhsanteAu LeBron James, Ben Carson, Barack Obama,Delle Alli kwa uchache...
Umenichekesha hahahahahahHao uliwataja kaa kimya huyajui maovu hao!
Mtoe Faraja tu hapo!wengine hao Malaya mnoo!
Wamedanga haswaa huyo jackiline sasa kuna siku hapa kati mzee Mengi mamtoni kapata kiben10 kwenda nacho hotel simu ya hotel inaita anapokea kibe 10 anaambiwa najua uko na mke wangu sasa kabla ya chochote vaa nguo zako ondoka
Ole wako kama unahitaji uhai tafadhali ondoka!
Asante Mkuu bora wewe umenielewa wengine waponegative side wakati ni ukweliSingle mother ambaye hana stress na kuachwa au kufa kwa mmewe huwaga wako vizuri sana katika malezi na utakuta mtoto wake wa kike yuko vizuri kiakili anasoma shule nzuri, wanakuwaga na maelewano mazuri na watoto wao wa kike, then mara nyingi ukiwaangalia 80% hufanana yani unaweza sema ni mapacha kumbe uumbaji wa ALLAH na kwa kusudi Maalumu.
Single mother akiwa na mtoto wa kiume hapo kidogo inakuwaga shida katika maelewano yani, mtoto wa kiume humsumbua Sana Mama yake tofauti Na wa kike, mara nyingi mzazi huwa hafanyi lolote due to sake of love and joy na yuko tayari kufanya lolote mwanaye aishii.....................
Ukute Single mother ana stress.......???
Usichukie na kutumia lugha kali just share your experiences, Mimi nasema kutokana na ninayoyaona na kuyaexperiencesSuch an empty mind.
Did they get themselves pregnant ?
Tuanzie hapo.
Mnakimbiliaga kuwananga Single mothers as if kwenu hawapo and as if wengine wenu didn't come from such women. Or as if it is a heinous crime to raise a child on their own!
Wanawake waheshimike tafadhali, kitendo tu cha kuwaleta binadamu duniani kiwajulishe kwamba sie sio wenzenu na ndo maana pepo imewekwa chini ya miguu ya akina mama.
Usichukie na kutumia lugha kali just share your experiences, Mimi nasema kutokana na ninayoyaona na kuyaexperiences
Maunda ZorroHuwezi ona aliyelelewa na Single Dady ukakuta anajichora Tatooo
Karucee [emoji818][emoji818][emoji818]Such an empty mind.
Did they get themselves pregnant ?
Tuanzie hapo.
Mnakimbiliaga kuwananga Single mothers as if kwenu hawapo and as if wengine wenu didn't come from such women. Or as if it is a heinous crime to raise a child on their own!
Wanawake waheshimike tafadhali, kitendo tu cha kuwaleta binadamu duniani kiwajulishe kwamba sie sio wenzenu na ndo maana pepo imewekwa chini ya miguu ya akina mama.
Tupac Shakur,Jay Z, Kanye West,Andy Cole,Mike Tyson,Paul Ince kwa uchacheAu LeBron James, Ben Carson, Barack Obama,Delle Alli kwa uchache...
only ticha na nesi ndio wanaolea watoto wao vizuriUsi generalise kuna single mother wanalea watoto kwa discipline hasa umkute mama ni headmistress shule.
Langa Kileo mama yake ni nurse,only ticha na nesi ndio wanaolea watoto wao vizuri
waliobaki ni wa kubahatisha sana kwenye malezi bora
Nakubaliana na wewe kwani kuna wazazi wengine wapo wote ila mmoja hahusiki kwenye malezi yupo busy au mtoto yupo boarding mnalelewa na Teacher Ayubu!Ila nakubaliana na mtoa mada kuna tabia chache ambazo tuliolelewa na single mother tunakua nazo ni rahisi kutujua;kwa wanaume tukioa wengi wetu mama zetu wanatuamulia mambo mengi (hili mimi nimeli control lilileta shida) na kwa wanawake wanakua hawaamini sana waume zao kufanya nao maendeleoMalezi ya mtoto hayana single mother wala double mother.
Wapo wengine wanalelewa na wazazi wote ila hawana tabia nzuri.
Heshimu mzazi mwanamke anayemlea mwanae peke yake ilhali mzazi mwenzie yupo hai na sio mlemavu au ameshatangulia mbele ya haki.