Madhara ya modern life

hahaaa..lakini bado wataalamu nao wanasema kuwa ulaji mwingi wa vyakula vya wanga...vinamfanya mlaji adumae kiakili....waweza kujionea mwenyew CCM inaongoza wananchi wanamna gani"""??....wananchi ambao hata wakitiwa vidole vya macho watasema hewala"" hayo nimataokeo ya ulaji wa vyakula vya wanga kwa wingi""
 
Kuja kwenye wali maharage usijidanganye kuwa mwanao umemkataza kula kwa watu. Anaweza kuja taa kula pilau lakini si wali maharage
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika moja ya miradi ya ONTARIO ni kuhakikisha wananchi wa kawaida wanaweza kupata kuku wa nyama kwa bei nafuu
 
Nimetoka mbali saaana!Toka enzi za kuvaaa suruali size 28,mpaka leo hii 38!
Modern life sinaga,mie yangu mkate wa kikinga wa Makete,Mchana Kiti moto kwa Mama Samunge,Jion ubwabwa Maharage na Juice parachichi!
Nyie wa Modern life endeleeeeni tu
 
Wakati nakua nilikua naambiwa nisome ili nipate hela nile chakula ninachotaka...
Sasa naanza kupata vi hela kidogo vya kuweza kupanga misosi yangu niliyoimiss tangu utotoni mnaanza kuniambia nile ugali tena...
Kwa hili hapana kwa kweli..
Bora maisha mafupi ya bata kuliko kuishi miaka 90 kwa kula mihogo mikavu..

Say no to diet
 
Naungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.
Say No to Diet
 
Naungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.
Say No to Diet
Hahaaa kweli kabisa .. utaskia wale wanaojiita vegetarian hawataki tule nyama kabisa eti tutapata gout...hivi hizi kuku na mbuzi zoote zinazofugwa atakula nani??

Waafrika tutaangamia kwa kuiga diet za wazungu..
Unakuta kijana kakondeana eti na yeye yupo kwenye diet
 
Ikiwezekana ku control weight so vibaya
 
Ikiwezekana ku control weight so vibaya
Tatizo kuna misconception kwamba ukila ugalii mkubwa ndio unakuwa na nguvu au ukila mihogo na viazi ndio nguvu zinaongezeka wakati ukweli ni kwamba kula kila kitu kwa kiasi kulingana na calories unazohitaji kwa siku kulingana na kazi zako.....
Sio vibaya mtu akila vyakula vyake vitam tam as long as haja overfeed. ...

Maana hata ugali ukila mkubwa mwisho wa siku extra glucose itakuwa converted into fats via krebs circle
 
Naungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.
Say No to Diet
Hii maneno ndio imefany niwe muhanga wa modern life
 
Bado mtamu ujue. Wali na maharage ya nazi haufai kwa diet kabisaaa. Yan nikisikia tu harufu yake nasikia njaa upya [emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tuu .... back days !!! Unapakua wali maharage unaacha upoe kidogo ili uufaidi vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Cyb
Nzuri![emoji109]
 
Reactions: Cyb

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…