Madhara ya modern life

Hizi janky food siyo kabisa,maana inasababisha watu kutokua na nguvu kabisa,zamani hata mtu akikojoa lazima arushe mkojo mbalii kweli na uchimbe kishimo,siku hamna hiyo
 
yaaaahhh truueee.......watu wengi hawana elimu juu ya balance diet...wanazani kula vitam tam ndo kubalance diet....na pia hawajui kuwa blood type ulionayo inakuruhusu kula vyakula flani na kutokula vyakula flani.....

Kunywa maji ya uvugu vugu asubuhi kabla ya kuongiza chochote kinywani ni jambo moja la afya sanaaaa.
 
Wacha watu wale...kwa mtogole havipo ndo maana unaona wivu, unasingizia ati vina madhara kumbe huna hela ya kununua. Wacha wale
 
Ubwabwa ulikuwa na heshima, ukipakuliwa watoto mnazunguka sinia mnawekewa ukoko kwenye chujio la nazi
🙂🙂 umenikumbusha bosi wangu mmoja zamani..tunaoingea mchele kupanda bei hadi elfu hamsini na tano debe akasema ''eeeh bana,heshima ya wali irudi sasa..yaani mtu ananywea chai ubwabwa??!!"...aisee yaani tulicheka mno
 
🙂🙂 umenikumbusha bosi wangu mmoja zamani..tunaoingea mchele kupanda bei hadi elfu hamsini na tano debe akasema ''eeeh bana,heshima ya wali irudi sasa..yaani mtu ananywea chai ubwabwa??!!"...aisee yaani tulicheka mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ukienda chooni kwa haja kubwa lazima kijasho cha kutosha kikutoke....achilia mbali maumivu😀😀
 
Kule home maharage ya nazi yanawekwa iliki acha tu
Huyu wa kunywa chai vya rangi na mihogo ya kuchemsha hata vitz inaelekea hana mafuta yataungua kwa kutembea
 

Ukweli mchungu huu, hapo kwenye Pizza am guilty
 
Ni kweli, unafanya to drop your weight
Diet kwangu inafanya kazi kuliko mazoezi, muda wa mazoezi na hali ya hewa. Mvua ikinyesha kukimbia inakuwa shida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…