Madhara Ya Mapenzi Ya Aina Hii,.

Madhara Ya Mapenzi Ya Aina Hii,.

USIMLAUMU, INAONEKANA BADO NI UNDER 18. CHEKI APA,
Join Date : 15th September 2013
Posts : 672

Rep Power : 445

Likes Received
98

Likes Given
0

changia mada mkuu, kama huna cha kuchangia unapita tu siyo lazima kuchangia,.


Kwani we umejiunga lini Jf mpaka uanike status yangu hapa au ndiyo mchango wako huo,..






''shame''
 
mkuu mbona kama hujui unachokitaka katika mapenzi?
kwani wewe huitaji kupendwa?Golden chance never come twice ,huyo ndo wife material
Mkuu mie nina ushauri mzuuri kabisa... Tega sikio.
Ushauri wangu sio wa namna ya kumwacha kabisaaa... Ila ni wa namna ya kumpenda zaidi.
Huyo binti siyo wa kumwacha hata kidogo na ndio wife material ila nikisoma saikolojia yako ni kuwa wewe kuna namna ambayo umemfanyia labelling based on what you have presented.
Kwanza nahisi ya kuwa baada ya kuambiwa kuwa alishawahi kubakwa basi ndio wewe ukaanza kupoteza nae hamu. (Kama ulivyoonesha kwa kuweka red colur as if ni something terrible)
Pili; unataka kuwa na mwanamke ambae atakuwa ni kama label fulani ya kukupambanua kwenye jamii (unataka mwanamke mzuri sana/mwenye shape kali) wakati huyo anaonekana ni wa kawaida sana.
Tatu;- inawezekana baada ya kukidhi haja zako za mapenzi basi unaona you have everything.
Ushauri wangu;
Nakusihi usimwache huyo binti kwani kila unapopendwa basi nawe penda pia na usiwe na mawazo ya kuondoka.
Nikumegee my personal experience kwenye hili ili kukazia ushauri wangu... Mie mke wangu alipewa ujauzito akiwa form three na jamaa akakana. Hadi nakutana nae sikuwa na nia ya kudumu nae ila kwa kadiri alivokuwa ananijali basi nami nikashauriwa na wakubwa zangu kuwa huyo ndio wife material.
Nilijifunza kumpenda na sasa nampenda kuliko chochote na familia yetu kwa sasa ina furaha sana na pia maendeleo as she cares a lot about me and family as well and now we are happy.
So mi ushauri wangu ni kuwa please please stay with that gal.
If you need further advice do not hesitate to send me a pm.
 
Then, why ulijiweka karibu naye tangu awali? Si ungempotezea mapema? Nadhani ktk hili umechemsha!

sijachemsha mkuu,.

Bado nina muda wa kufanya maamuzi



''ahsante kwa kuchangia''
 

watu wengine bana
yani umepata mdada anaefaa kua
mke ati hujampenda,ulimrubuni ili?
atapata anaejua nini maana ya mke bora
na si bora mke,muweke wazi yaishe, usizidi kumpotezea mda!!

ahsante mkuu,.

'' ushauri wako nimeupokea''
 
mwache kama ulivyomaprochi. mbona hukuomba ushauri wakti unamtafuta?
 
mwache kama ulivyomaprochi. mbona hukuomba ushauri wakti unamtafuta?

mkuu sidhani kama utakuwa umenisaidia wala kutoa changamoto,.

Hiyo ya kwako ni vurugu tu,..


Hata hivyo nimeshafanya maamuzi sahihi,!!
 
Ihbl8TkhmGlh1hvBZJSlhYYhnLnBBhR3qItl8S9FlBgbcKfPlGNXGbftJ38wpjfE.jpg
 
changia mada mkuu, kama huna cha kuchangia unapita tu siyo lazima kuchangia,.


Kwani we umejiunga lini Jf mpaka uanike status yangu hapa au ndiyo mchango wako huo,..






''shame''

huyu kidudu ni ---- kweli, halaf linajiona liko perfect....idiot
 
Hujawai kuwa kwenye mahusiano ?hivyo hujawahi kuacha. Na kwa vyovyote vile hujui uchungu wa kuacha ,hebu mtafune kwanza uwe na experience vyenginevyo hata huyo utaempenda hamtofika kwan wanawake wa siku hz wanajua ww lijal kama unawapanga. Mpange huyo kwanza

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
anko naic kuna nati kichwan mwako imelegea. umempata msichana mzur sasa unasema aumtaki subir upate majinga kama wewe wakuchune mpaka ngozi ndio utazinduka.
 
Back
Top Bottom