chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,367
- 27,766
- Thread starter
- #61
acha uboya,usipoteze hyo fursa,watu wanatafta sana fursa za namna hyo,unataka uendelee kupata kama yule wa kwanza sio?we unaonekana bado unampenda yule wa kwanza ambae hakupend,pia bado unajipa matumain kua utarudiana nae,haya bwana,kuna mtu kakwambia mkataa pema...
ahsante mkuu,.
Nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili!!