Madhara ya limbwata

Madhara ya limbwata

Interesting.....

Unalishwa limbwata na mkeo
unalishwa na michepuko labda mitatu

ukienda kwa mama ntilie nae kuna uchafu anaweka 'kuvutia' biashara

basi ili mradi 'tunalishwa' takataka za kila aina
Imani bila akili matokeo yake ni ujuh.a.

Halafu huwa najiuliza sana...hivi kuna malimbwata ya wanawake?

Manake mambo karibu yote yahusianayo na dawa za sijui niseme kichawi kuhusiana na mapenzi, walengwa wake wengi huwa ni wanaume.

Yaani mwanaume ndo wa kuwekewa au kupewa dawa ili atulie na ampende zaidi mwanamke wake.

Limbwata za kiume kwa wanawake zipo?

Kama hazipo au kama zipo lakini mahitaji yake ni hafifu, hiyo inatueleza nini kuhusu akili za wanawake walio wengi?

Just some food for thought.....
 
Tazama hata wateja wengi wa makanisa ya kitapeli utakuta ni wanawake
 
wanaume wanakula uchafu sana maana hilo limbwata mpk likolee lingine unaambiwa uweke nyama sehemu za siri halafu aile,lingine usugue taka za mwili ndo ale,lingine mate au ndonya la kimakonde bass tu mradi tupu!!

Mungu asaidie tuu!!!

Mnhh na wewe 'unayajua' kwa undani kwa kweli....
 
nimekulia uswahilini then mazingira hayo hvyo vitu kawaida mnoo!!Wazaramo,watu wa Tanga hayo mambo wanayaweza sana!wengi wao bila kuroga wanaume hawawezi kuishi nao!

Kuna mwanamke nae alimkoroga baba angu daaahhh!!sina hamu bahati mbaya sumu zilizidi aliumwaaa!!Alimpa sumu!!
 
Pole......tusomeshe watoto ili wasijikite humo
 
wanaume wanakula uchafu sana maana hilo limbwata mpk likolee lingine unaambiwa uweke nyama sehemu za siri halafu aile

Na unakuta wapo kweli wanaoweka hivyo vinyama huko ukweni?

Hata akili ya kuwaza kuwa wanaweza kupata maambukizi hawana?

Ni huwa ni nyama ya nini? Ng'ombe? Mbuzi? Kondoo? Tembo?
 
Pole......tusomeshe watoto ili wasijikite humo
sure yani napigania sana wanangu wasiishi kiswazi,Ila wengine wasomi kabisa Ila hawajiamini!

imagine baba anaumwa mie nampeleka Hosp yule mama anadai karogwa aende kwa mganga weeee!!nililiiaa then baba anakua upande wa yule mama kua kweli karogwa namuambia baba we msomi don't believe those things...
Twende tukapime Ocean Road ananiambia huko konde nshaenda siendi naenda huku ukitaka nipeleke usipotaka baas!
Mwisho wa siku hakupona tukaenda hospitali mwili una sumu figo mpk lilikua lilianza kufeli!!.

Akaanza matibabu akapona Mungu mwenyewe alitupigania kwa kweli kumprove that witch wrong!!
 
Wakati mwingine hata usomi [whatever that is] hausaidii kabisa.

Manake unakuta hao wanaojiita ua kujiona wasomi ndo wadau wakubwa wa hizo imani za kipuuzi.
 
sure yani napigania sana wanangu wasiishi kiswazi,Ila wengine wasomi kabisa Ila hawajiamini!

imagine baba anaumwa mie nampeleka Hosp yule mama anadai karogwa aende kwa mganga weeee!!nililiiaa then baba anakua upande wa yule mama kua kweli karogwa namuambia baba we msomi don't believe those things...
Twende tukapime Ocean Road ananiambia huko konde nshaenda siendi naenda huku ukitaka nipeleke usipotaka baas!
Mwisho wa siku hakupona tukaenda hospitali mwili una sumu figo mpk lilikua lilianza kufeli!!.

Akaanza matibabu akapona Mungu mwenyewe alitupigania kwa kweli kumprove that witch wrong!!

Waliosema 'kosea kujenga usikosee kuoa hawakukosea'
Baba yenu aliingia 'pabaya'
 
Na unakuta wapo kweli wanaoweka hivyo vinyama huko ukweni?

Hata akili ya kuwaza kuwa wanaweza kupata maambukizi hawana?

Ni huwa ni nyama ya nini? Ng'ombe? Mbuzi? Kondoo? Tembo?
hahhaaaaaa!!wapo tena wengi Sanaa tu!
Hayo madhara tunayajua sisi mtu kashatingwa hapo na life na hana alternative zaidi ya mume ndo anapolitafuta limbwata na mwanaume anabadilika anakua monster kwa mkewe na familia yake!hawajali tena!!
 
Waliosema 'kosea kujenga usikosee kuoa hawakukosea'
Baba yenu aliingia 'pabaya'
Second wife mtanga mama anaroga yuleee!!yaani haya mambo yapo tena mnoo!!haswaa mwanaume akiwa na kipato!

Wadada wa mjini jamani wachawi loooih,!!
mpk Mtu anatelekeza familia yakee wakati mwanzo hakua hvyoo was a loving dad!!

Yule mama hatupendi jamani inafikia hatua anaumwa kaanza kwenda muhimbili anapona anaogopa kuondoka anatutuma tumfate yaani kwa yule bimdogo yani ukifika unamkuta mpolee hana raha!!
mpk unatamani kulia
 
Back
Top Bottom