Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,544
- 139,869
Wakuu hii ni jumapili, tusichoshane!
Hope sio peke yangu niyewahi kuambiwa kuwa kuna madhara kutumia mashine ya umeme kunyolea ''sehemu za siri''.
Kwamba mashine hizi zinapunguza nguvu za kiume.
Tunaidiane ku-clear doubt hii, maana nguvu za kiume ni bidhaa adimu sana siku hizi. Tunguvu twangu tuchache tusijepotea kabisa nikaanza kuleta siasa wakati wa kugegeda
Mmh ni kunyoa au kupiga punyeto, si itakuwa inatekenya sana??!!
Sikuwahi kufikiria kuwa kuna watu wanatumia mashine za umeme kumoa marvz[/QUOTE]
Najarbu imagine zile complex curves za huko down hiyo mashine anaitembezaje??????
Mmh ni kunyoa au kupiga punyeto, si itakuwa inatekenya sana??!!
Nimetumia mashine za umeme tangu 2007... hadi sasa betri ipo full chaj...
Inapunguza baada ya mda gani?
rafiki we si unatumia mkuyati!!
Nimetumia mashine za umeme tangu 2007... hadi sasa betri ipo full chaj...
Inapunguza baada ya mda gani?
Mmh ni kunyoa au kupiga punyeto, si itakuwa inatekenya sana??!!