Madhara ya kunywa maji ya moto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kunywa maji ya moto!

Discussion in 'JF Doctor' started by charminglady, May 2, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Helo wanajamvi wenzangu!

  Naomba kusaidiwa, ni kwa muda mrefu nimekuwa nikinywa maji ya moto asubuhi saa 2 hunywa glass ya maji moto ila sio ya kuunguza ni ya moto yanayoweza kunyweka yani ni kama umepooza chai alafu ukanywa kwa mara moja.

  There after huwa naweka maji moto kabisa kwenye glass na yakipoa kidogo huwa nakunywa kidogo kidogo na huwa naongeza kila yanapoisha asubuhi mpaka jioni.

  Je naweza pata madhara yoyote kwasababu kuna mtu kanambia kuwa yanayeyusha mafuta mwilini ila mimi sio mnene na wala sihitaji kupunguza uzito ni mazoea.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  charminggirl Ni kweli maji ya moto haswa ya Uvuguvugu ukichanganya na Asali husaidia sana mwilini kuyeyusha mafuta, pia kusafisha vijiwe vidogovidogo kwenye figo na hayo maji ya Uvuguvugu ukinywa na Asali mbichi

  ndio utapata hiyo faida na afaida nyingi mwilini mwako nakushauri utumie kila siku kabla ya kula kitu. mimi Mwenyewe

  ndio kitu cha kwanza kabla ya kula kitu asubuhi huwa nakunywa amaji ya Uvuguvugu nachanganya na Asali mbichi safi kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali kila siku katika maisha yangu huwa natumia hivyo na nipo feet .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana CG.
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,017
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  Hata mimi huo ni utaratibu wangu kunywa maji ya uvuguvugu kila niamkapo kabla sijala kitu chochote asubuhi,ninachokifurahia ni kuwa ule uchovu wa usingizi huwa unatoweka haraka sana yaani ndani ya dakika 5 huwa najihisi safi sana,then kinachofuata ni msukumo mkubwa wa chakula ambao unani-force kupata choo muda mfupi baadaye,nimejizoesha hivyo kiasi cha kwamba nisipofanya hivyo huwa sipati choo vizuri.Ninakushauri usiache na nashukuru hata Mzizi Mkavu naye ameliona hilo,
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  wadau asante sana, waswas wangu ni kwamba kuna mama m1 ananambia kuwa napungua kwa kasi.kwamba hayo maji yanayeyusha mafuta so nakosa mafuta mwilini. je ni kweli kupungua uzito/mwili kwa kasi ni shaur ya majimoto?
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  maji ya uvuguvugu (moto) hayana tatizo kwa mfano wachina wote wanakunywa maji ya uvuguvugu (moto) muda wote haijalishi ni summer au winter nawa afya nzuri sana nilijaribu kuonana na dr. mmoja akaniaeleza why life span yao ni kubwa at least 80 years kwa maana yanafanya blood circulation kuwa nzuri sana
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kula vyakula vya mafuta uongezeke kwenye umbo lako la mwanzo..
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  vyakula vya mafta c naeza pata bp?
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mkuu, mwili wa binadamu ni wa moto, unapokunywa maji au kinywaji chochote cha baridi, yanapofika ndani ya tumbo, yanasababisha mwili kufanya kazi ya ziada ya kuyabadili maji kuwa ya moto ndipo yaweze kutumiwa na mwili. Maji au kinywaji baridi kamwe hakiwezi kutumika na ubaridi wake, vinginevyo damu yako itakuwa baridi na madhara yake ni makubwa.

  Unapotumia maji moto, mwili wako haupati kazi yeyote kubwa ya kusafisha na maji hutumika maramoja, na kwa sababu maji ni ya moto huyeyusha mafuta mafuta yanayoelea ndani ya tumbo.

  Mfano chukua chupa mbili nyeupe zilizowekwa mafuta na yakaisha, chupa moja mimina maji baridi, utaona mafuta yaliyobaki kwenye kuta za chupa huganda na kuonekana. Chupa ya pili mimina maji ya moto, utaona kuta za chupa zinazidi kuwa nyeupe bila mafuta au uchafu wowote.

  Ndiyo maana unapokunywa maji baridi, mafuta yaliyopo kwenye kuta za tumbo huganda na ndiyo mojawapo wa chanzo cha kitambi, ukinywa maji moto mafuta yaliyopo kwenye kuta za tumbo huyeyushwa na kitambi huanza kupotea.
   
 11. d

  debito JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jamani mi naomba kujua kama naweza kupunguza tumbo bila kuathiri umbo langu,maana linanikosesha raha kabisa
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nilichotaka kukwambia vyote vimeshaandikwa na MziziMkavu, mwanaweja, Majimoto
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kwani wewe jinsia gani? Kama wewe ni dume unataka umbo bomba la kazi gani?
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Top 12 Health Benefits of Drinking Hot Water  There are various benefits of drinking hot water to our health. We take water to hydrate our body. Both hot and cold water serve this purpose. Drinking cold water seems to be more tempting than hot water. So, we consume cold water on a regular basis compared to hot water.
  Our body temperatures are maintained at 98.6 degrees. When we take cold water, it forces the body to bring the temperature back up. Cold water can be easily absorbed into the blood and keeps the body hydrated. But, apart from these benefits of cold water, drinking hot water can also be very beneficial to the body. It should be taken before breakfast and as and when required throughout the day.
  Health Benefits of Drinking Hot Water

  Following are some of the benefits of drinking hot water -


  1. Sweating

   – When we take hot water, our body temperature rises and hot water causes to cool down the body which is done by sweating.
  2. Blood Purification

   – Sweating purifies our bloodstreams.
  3. Removes Toxins

   - A lot of toxins are thrown out from our body when we sweat.
  4. Removes Built up in Nervous System

   – Drinking hot water also removes built up deposits in our nervous system.
  5. These deposits create

   negative emotions

   and thoughts.
  6. Drinking hot water can remove these built ups in the nervous system and provide us with a better emotional state.
  7. It can actually remove toxins from the body.
  8. Improves Blood Circluation

   – Drinking hot water improves blood circulation.
  9. Boost up the Immunity

   – When lemon and honey are added to drinking hot water, it will become tasty and boost up the immunity.
  10. Kills Pathogens

   - When taken in morning, it will kill the harmful bacteria in throat and intestine and restore the lost moisture during night.
  11. Body Cleansing

   - Drinking a hot water glass with lemon before breakfast can be a perfect solution for cleansing your body system.
  12. Constipation Cure

   – It is a very good remedy for constipation as it stimulates the bowel.
  Hence, hot water is necessary for drinking purposes. As soon as you get up, take a glass of hot water for maximum benefits.


  Mwanaweja, Majimoto@Narubongo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  napata shida maji hayo ni ya kawaida(ambayo hayajawekwa kwenye frij) au lazima yawe na moto kabsa
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  debito, maji moto yanapotumiwa kwa viwango vinavyotakiwa ni dawa kubwa kuliko watu wengi wanavyofikiria, fikiria umelima bustani ya mchicha, ukaweka mbolea ya kutosha lakini mchicha unapokosa maji ya kutosha ndivyo unadhoofu na haupendezi.

  Sehemu kubwa ya mwili wa binadamu ni maji, ili mwili uweze kustawi ni lazima upate maji ya kutosha, mahitaji ya maji kwa siku ni glass moja kubwa (ml.300) kila baada ya masaa 2 mara 8 kwa siku.

  Mwili ukipata maji ya kutosha hufanya ngozi ya mwili kuwa nyororo na makunyazi kwenye ngozi hasa usoni hutoweka bila kutumia mafuta. Kwa ufupi bila maji umbo lako litaadhirika sana, sawa sawa na bustani ya mchicha bila maji ya kutosha.
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Maji yaliyowekwa ndani friji yanakuwa baridi, tumia maji ya kawaida, siyo lazima yawe moto, lakini kwa matokeo ya haraka tumia maji yenye uvuguvugu.
   
 18. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante sna Majimoto,kuna mada nimepost habar na hoja mchanganyiko forum naomba ushaur wako pia. asante
   
 19. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Yanapunguza sana nguvu za kiume.Endelea kuyanywa uone kama hujawa boflo
   
 20. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkuu, naona umeandika pumba kuwadanganya watu humu jamvini!
   
Loading...