CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Helo wanajamvi wenzangu!
Naomba kusaidiwa, ni kwa muda mrefu nimekuwa nikinywa maji ya moto asubuhi saa 2 hunywa glass ya maji moto ila sio ya kuunguza ni ya moto yanayoweza kunyweka yani ni kama umepooza chai alafu ukanywa kwa mara moja.
There after huwa naweka maji moto kabisa kwenye glass na yakipoa kidogo huwa nakunywa kidogo kidogo na huwa naongeza kila yanapoisha asubuhi mpaka jioni.
Je, naweza pata madhara yoyote kwasababu kuna mtu kanambia kuwa yanayeyusha mafuta mwilini ila mimi sio mnene na wala sihitaji kupunguza uzito ni mazoea.