Madhara ya kulawiti

Madhara ya kulawiti

ukitaka kula haramu,basi kula iliyonona , , , , , na ivo ndo kunaendanga
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

ee mwenyezi mungu kiepushe kizazi hiki kwakuipotosha quran
uliambiwa umuingilie kwa nyuma au kwa mbele isipokuwa tu unaingilia njia iliyohalali. kwa maana ya style tofauti uwezavyo kimgongomgongo kwa mbele hali ya kuwa tu utaingilia maumbile ya mbele kasome tena hadi mwiaho
 
Take Note: Hyo michezo ukianza huachi.

Bwana Mungu anilinde na kuniepushia tamaa na njia za mwovu shetani. #Amen .
 
ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

ulaaaaniwe wewe kwa kuleta mzaha kwenye quran,
 
Wewe sio mkristo so kaa kimya. Hujui lolote. Wapumbavu walio andika kitabu nilivhonukuu not me. Acha povu kijana
 
Wewe sio mkristo so kaa kimya. Hujui lolote. Wapumbavu walio andika kitabu nilivhonukuu not me. Acha povu kijana

Wewe utakuwa unatafuta bwana huna lolote huwez kutukana dini za watu
 
Mvifute vitabu vyenu, mbona hicho kidogo sana nilichopost kuhusu uozo wa kiislamu. Faiza foxy mwenyewe ameona fact ndio maana kasepa. Mimi natumia logic sio emotional kama wewe . soma hivyo vitabu nilivyonukuu alafu vikane basi kama wewe msomi
 
Siku nyingi zilizo pita nilikuwa nasikiaga tu kunamadhara makubwa ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile lakini wiki iliyopita ndo nimepata funzo la mwaka kwa macho yangu mawili kaka yangu mpendwa amefanyiwa oparesheni ya uume wake kwa sababu ya kuziba kwa mirija ya njia ya uzazi kama bado hayajakutokea acha yasije yakakukuta kama hayo

Inategemeana Na UELEDI Wako ULIOTUKUKA Ktk Kufanya Hivyo. Watu Tunafukua UVUNGU Huu Mwaka Wa 11 Sasa Na Bado Tupo Gado.
 
Huyo kaka yako itakua analawiti kienyeji.....unakuta demu katoka kula ugali na dagaa alafu unamla tigo....lazima anye...na mwisho kinyesi kuingia kwenye uume.... Halafu pia tatizo watu wanageza porno....wale wako kazini.....kule inabidi ule kwa hamu tu.....sio kila sikuu ....ngoja.kwanza nitaludi badae
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

Acha kusoma qur an kama unasoma jarida la sani. Hivyo vitu vya kumuingilia yeyote kinyume na maumbile vimekatazwa hata kama mkeo.
Na kisheria ukimuingilia mkeo kinyume hukmu yake ni sawa nakuwa umemuacha na dhambi yake ipo pake pale.
 
Jamani huyo alieandika kuwa mambo hayo ya kishenzi yanapatikana kwenye suraat baqarah ni muongo,,kwan surat baqarah,quran2:230,inazungumzia mambo ya talaka,na sielewi yeye katoa wapi hizo aya,usipende kupotosha watu kupitia kitabu cha mungu,ULAANIWE.
 
Asitudanganye huyu huwo ukafir mungu ameuzuia kabisa na ukiutenda inabidi ukoge kwenye bahari kubwa saba tofaut

Sio kweli hii hukmu we umeitoa wapi?? Umejitahidi kuongea uongo ba kudanganya hukmu ya kwenda kuoga pima saba baharini ni kwa ajili ya kujitoa janaba la kudoo na asiyekuwa muislam, nani janaba tu linatoka ila dhambi inabaki pale pale. Hukmu ya ukawiti ni kali sana na mtu hasamehewi ila kwa toba ya kweli.
 
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.

Acha upotoshaji wewe kiazi!!
 
Back
Top Bottom