Madhara ya kula unga wa sembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kula unga wa sembe

Discussion in 'JF Doctor' started by JosM, Jun 25, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanaJF naomba ushauri wenu.Nina rafiki yangu wakike ambae anatatizo la kula unga wa sembe,tabia hii ameianza toka alipo kuwa msichana(kuvunja ungo)toka wakati huo hadi leo hii amejaribu njia mbali mbali ambazo zitamfanya achane na tabia hiyo imeshindikana.Sasa imefikia wakati anachukua unga kwenye mkoba wake anaenda nao officen,jioni akirudi anachukua mwingine tena....pia katika pita pita zangu nimegundua baadhi wanawake wana tabia za kula vitu vya hajabu hajabu,kwa mfano kuna wanao kula udongo/mkaa sijajua ili tatizo lina sababishwa na kitu gani.
   
Loading...