stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 812
- 1,753
Katika hao uliowataja Songwe wanashikilia kombe, wale watu wanakula ugali bwana... kuanzia breakfast mpaka dinner ni ugaliTuwe wakweli; ugali/mahindi sio chakula hakuna lolote kwenye ugali kama virutubisho. Alieasisi utamaduni wa kula ugali, alileta utamaduni wa kipuuzi, bahati mbaya imekuwa ndio mtindo wetu wa maisha.
Nyanda za juu kusini; Rukwa, Katavi na Songwe, kuna utapiamlo, udumavu uliokithiri kwa watoto miaka 0-5, sababu ni mahindi kuwa chakula chao kikuu katika mzunguko wao wa vyakula.
Watoto wanadumaa, wanapata utapiamlo na hawakui kwa ulinganifu wa muda sababu ya vyakula vunavyotokana na mahindi.
Mtoto anaamka anapikiwa uji wa mahindi, mchana anapigwa ugali, maharage na tudagaa, usiku anapigw wali maharage na chai.
hahahahaEti ni kweli ugali humfanya mtu kuwa Zuzu/Zumbukuku?
kuleni ugali wa mtama na samaki wa ziwa RukwaTuwe wakweli; ugali/mahindi sio chakula hakuna lolote kwenye ugali kama virutubisho. Alieasisi utamaduni wa kula ugali, alileta utamaduni wa kipuuzi, bahati mbaya imekuwa ndio mtindo wetu wa maisha.
Nyanda za juu kusini; Rukwa, Katavi na Songwe, kuna utapiamlo, udumavu uliokithiri kwa watoto miaka 0-5, sababu ni mahindi kuwa chakula chao kikuu katika mzunguko wao wa vyakula.
Watoto wanadumaa, wanapata utapiamlo na hawakui kwa ulinganifu wa muda sababu ya vyakula vunavyotokana na mahindi.
Mtoto anaamka anapikiwa uji wa mahindi, mchana anapigwa ugali, maharage na tudagaa, usiku anapigw wali maharage na chai.
Katika hao uliowataja Songwe wanashikilia kombe, wale watu wanakula ugali bwana... kuanzia breakfast mpaka dinner ni ugali
kuleni ugali wa mtama na samaki wa ziwa Rukwa
ma afisa lishe wapite kutoa elimu. wamama wahudhuriapo clinic wapewe elimu, ... hapo huwa kuna ugumu wa mabadiliko ya haraka ila for the long run watabadilika tu.Ni tamaduni; samaki zipo, mtama, uwele, ulezi vyote vipo.
Kaya ikiwa na mahindi na maharage ya kutosha kula mwaka mzima, ndio inasema ina chakula cha kutosha.
Kwa upande mzuri, ugali ni chanzo kizuri cha nishati ukila kwa kiasi na kuambatanisha na mboga za majani, protini (samaki, nyama, maharage), na matunda ili mlo uwe kamili.Ugali unakufanya uwe na nguvu ila akili kisoda
Kipindi nipo shule, mara baada ya kupiga pola aiseeeh nilikuwa nalala balaaaaa, uzuri tu baada ya kipindi cha pola kulikuwa na free period ya kama dakika 40 hivi, hivyo hadi ticha aje anakuta ule usingzi wa uji ushakata au umepungua makali ila tumelala sana.Sidhihaki yeyote ila ugali ndiyo chanzo cha uvivu wa akili na udumavu wa ubongo kwenye kupambanua mambo.
Tizama wanafunzi either wa bweni au wale wa siku, muda wa saa 4 asubuhi wakitoka kunywa uji wakirejea darasani ni kulala, vivyohivyo kwenye lunch wakirejea darasani ni kulala hakuna kipindi watachoelewa kwa muda huo zaidi waalimu huwa wanafosi tu kufundisha.
Kiukweli binafsi ningepiga marufuku matumizi ya hayo mahindi kwenye lishe iwe kunywa au kula, ili kuokoa kizazi cha Tanganyika.
#Hallelujah!!!
m'badala wake uwe nini sasaSidhihaki yeyote ila ugali ndiyo chanzo cha uvivu wa akili na udumavu wa ubongo kwenye kupambanua mambo.
Tizama wanafunzi either wa bweni au wale wa siku, muda wa saa 4 asubuhi wakitoka kunywa uji wakirejea darasani ni kulala, vivyohivyo kwenye lunch wakirejea darasani ni kulala hakuna kipindi watachoelewa kwa muda huo zaidi waalimu huwa wanafosi tu kufundisha.
Kiukweli binafsi ningepiga marufuku matumizi ya hayo mahindi kwenye lishe iwe kunywa au kula, ili kuokoa kizazi cha Tanganyika.
#Hallelujah!!!
ma afisa lishe wapite kutoa elimu. wamama wahudhuriapo clinic wapewe elimu, ... hapo huwa kuna ugumu wa mabadiliko ya haraka ila for the long run watabadilika tu.
binafsi huwa siipendi sembe