Madhara ya kukosea mahesabu

Hii bila shaka ni Afghanistan maeneo ya Kabul
 
duh kweli hapo mahesabu yamechanganya
Wamechemsha mbaya
 
Lugha ya hapa ngumu kuielewa manake sioni kitu au ndo kukosea mahesabu yenyewe
 
Hebu rudia kukokotoa hesabu zako, manake mimi naona hawa watu wako sahihi, vinginevyo wasingelivuta kama wamekosea.
 
Naona Mangwini, mnaona hesabu imekosewa, hapo imekosewa PHYSICS, refer definition ya Physics Form one. Au ndo mli- claim tu.
 
Hawa watakuwa vichaa au wamevuta bango!
 
This must be Afghanistan,they know how to use full capacity
 
Au hao jamaa wanamwaga mchanga?? Labda hilo gari (sijui ni punda huyo...!) halina mashine ya kumwaga mzigo kwa nyuma!
 
haha, hawa jamaa wako serious kweli?? hii mupya kwakweli!!
 
Kumbe ndio maana hata akili za hawa jamaa hapa jirani na dar zinafanana

Wale wote wanaofuata utamaduni wa hawa jamaa kwa kujidanganya ni nani hii, na akili zinafanana nao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…