Madhara ya kukosea mahesabu

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
02ImagesAprilRTR30OSU.jpg
 
Lugha ya hapa ngumu kuielewa manake sioni kitu au ndo kukosea mahesabu yenyewe
 
Hebu rudia kukokotoa hesabu zako, manake mimi naona hawa watu wako sahihi, vinginevyo wasingelivuta kama wamekosea.
 
Naona Mangwini, mnaona hesabu imekosewa, hapo imekosewa PHYSICS, refer definition ya Physics Form one. Au ndo mli- claim tu.
 
Au hao jamaa wanamwaga mchanga?? Labda hilo gari (sijui ni punda huyo...!) halina mashine ya kumwaga mzigo kwa nyuma!
 
Back
Top Bottom