Madhara ya kujichua yanatibika

aseenga

Senior Member
Jul 13, 2011
106
86
Mimi sio mdau sana wa hili jukwaa ila leo nimekua nikipita huku na nimeona mada ambazo zimewekwa humu na ambazo pia kwa namna moja au nyingine zimechangiwa sana ama kusomwa sana ni pamoja na hii issue ya wanaume kujichua sehemu za siri na hatimae kufikia mshindo.

Wengi inaonekana wanaleta mada kama watu ambao wanataka kuwasaidia wenzao waliothirika na tatizo hilo well yawezekana ni kweli ila naamin wengi wao ndo wenye tatizo hilo, nitasema kwanini nadhani hivyo.

Nikiwa na miaka 17 nilianza kujichua means nilikua o level that time na niliendelea na huo mchezo mpaka namaliza chuo kikuu.

During that time nilikua na rafiki wa kike pia na nilikua napaform vizuri mda wote nilio kuwa nae ila ninapokua sipo karibu nae mana tulikua wanafunzi basi ilikua ni lazima nifanye hicho kitendo so nilikua adicted to some extent, nilitaman sana kuacha but pace ndo ilikua inaongezeka.

Baada ya kumaliza chuo nikarudi mtaani ila nilianza ona mabadiliko la kwanza, nilikua nachelewa sana kufika ninapokua ninahave sex but pili nikawa naishia round mbili na nikijitahidi sana ndo nafika tatu au hata nne but nachoka sana mana nachukua mda mrefu.

Siku zilivyokua zinaenda nilizidi kuona uwezo wangu ukipungua hasa kale ka asubuhi, hapo ndo nikaanza kujitathmin na nikajicomit kwamba nataka kuacha hili jambo .

Na namshkuru mungu mana nina miezi sita sasa bila kufanya huo mchezo.

Kikubwa kilichonifanya nishiriki na nyie haya mawazo ni kwamba baada ya kuacha tayari nilishaanza kuonana dalili mbaya so nikaamua nisiishie kuacha bali nitafute tiba pia so nilimconsult dr wa hosp moja ambae ni rafiki yangu kwani tulisoma wote ila fani tofauti.

Alichonishauri aliniambia dawa za maana ni local medicine(yule dr ni mmasai) so hayo matatizo kwao yana dawa.

Basi nilianza kutafuta dawa japo si kwa wamasai mana nao wamekua matapeli. At the end nilikutana na dr mmoja yupo mwanza ye amesomea dawa za mitishamba na ana ofice ambayo ipo registered na serekali na nilielekezwa kwake na mtu aliekua na tatizo kubwa kuliko hata mimi.

Huyo jamaa kiukweli amenisaidia na tatizo lililokua linaanza kujitokeza likaisha kabisa. Huyu dr ana dawa ya mitishamba ya kisukuma ambayo inaimarisha misuli ya uume pamoja na kuongeza mzunguko wa damu kwenye uume ambayo ndo hapo uume unasimama vizuri lakini pia unastay longer.

Huyo dr aliniambia alishawahi kukaa canada kwa mambo ya dini so pia anayo dawa ya jely pia ambayo nayo ni ya kuimarisha misuli ya uume ila haiongezi maumbile japokua dawa hii matokeo yake huanza kuonekana baada ya miezi miwili mpaka mitatu ya matumizi yake. Yapo mengi ya kusema bt kwa hapa naona yatosha.

Kama una tatizo na unahitaji msaada mimi nitakuelekeza kwa huyo mtu.
 
Last edited:
Sasa si ungeweka namba yake yeye ili wenyeuhitaji wamcheck direct kuliko wewe tena kuwa mtu kati..
 
Hayaja kukuta yakishakukuta utawalipa wote,mtu wa kati na huyo doctor cha muhimu upate tiba.
 
Wewe mleta mada ndio huyo mganga ila umekuja kujipromote. Tafadhali lipia katangazo kako

Mimi sio huyo dr na si mganga pia kama unavyodhani mana ukisema mganga watu waweza fikiria vibaya, siwezi kuweka namba yake pasipo yeye kuniruhusu mana hata sijamtaja jina kwa kuhofia hilo.bt trust me watu kama ishirin wameshanicheki na nimewadirect i dont need anythng from them is just a mattet of sharing expirience.
 
Back
Top Bottom