Acha ujinga.
Kukataa/kukana mimba sio solution. Unachotakiwa kwenye hali kama hiyo ni kukubali mimba na kulea mtoto bila kuoa kwa shurti. Besides, kama hizo mimba huwa mnadunga za kazi gani kama majukumu
hamyawezi?! Condom si mnazijua?! Na hao wanawake msiowapenda mnahangaika nao wa kazi gani?!Waacheni watafute/wakutane na wanaowapenda na nyie mtafute mnaowapenda ili likitokea la kutokea mnabebana jumla tu bila purukushani.
Embu kueni bana..acheni kujifanya watoto ilhali umri umeenda.
Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.Mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.Ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.Maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.Imekuwa kama umefuga chui ndani.NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.
Guys ni gharama sana kuishi na mwanamke usiempenda, si vizuri kutelekeza mtoto lakini kuishi nae huyo mzazi pia hakutakuwa na amani ndani ya familia.
Duh, wanaume wa siku hizi jamani...
Hajakana mimba wala kulea mtoto ila anakana kulazimika kumuoa kisa umemtia mimba tu.
NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.
Kwahiyo mtu anapom"KANA" mwanamke aliyempa mimba anamkana yeye tu bila kukana mimba??!
Hajakana mimba wala kulea mtoto ila anakana kulazimika kumuoa kisa umemtia mimba tu.
Umesoma mpaka mwisho? Amesema anawapa big up wanaume wanaokana mimba
Ndiooooooo...!