Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

Mtoa Mada sio kosa lako,tatizo bado hujakuwa uvulana unakusumbua bado hujielewi.Siku ukifika umri wa kuwa mwanaume utabadilika tu,hata mbuyu ulianza kama mchicha hivyo sishangai.
 
Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.Mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.Ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.Maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.Imekuwa kama umefuga chui ndani.NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.

Ni kweli ndugu, mimi binafsi siamini katika ndoa za lazima, hasa hizi za baada ya kupeana ujauzito.
 
wee pompo mpo kweli.......! What if babako angekukana???? Think big mwanaume sio kuropoka ropoka tu....
 
Wanawake wamezidi tamaa,huku kuna mwanamke aliwaachwa na bwana ake kisa Malaya,alituhumiwa kutembea na musa,na kweli alivyooachwa Tu musa akamuoa,ASA hivi imekuwa kinyume,baada ya musa kuoa,yule bwana wazamani nae anamuibia musa ASA hivi,yaani dog eat dog
 
Naona tu mmefarakana kifikra juu ya mtoa mada na yaliyomo. Kusoma ni kuelewa, kama umesoma na hukuelewa.....maana hujasoma kitu....kasome tena na uelewe.
Ukichangia kwa namna ya mguso wa hisia kali(emortional), unakuwa umefeli kuwakomboa wajinga...ambao wanafollow mawazo yako hapa.
KASEMA...WAKATI MWINGINE ANAWAPA BIG-UP...wanaume wanaowakana wanawake wenye mimba zao.
IVIII...mwanaume amekuona...amekutamani...amebuni namna ya kukupata....amekushawishi na umeshawishika..
. Shida yake ya kwanza ni kukulala....mapenz yanazaliwa, yanakua, pia yanakufa.
Swala la mimba linataka mipango na makubaliano. Wew umetongozwa tuuu....mnashiriki tuuu, wala mwendelezo wa kulalana kwenu hauna ramani...ATI UMEBEBA MIMBA!!!!
Imagine, niko njiani natembea...umepita na gari yako...nikakuomba lift kwa kuwa unaeleke ninakoelekea.
Huko mbeleni...umenogewa..na wataka unifikishe niendako....nami sina wazo la kufika na wewe huko.. niendako na sitaki iwe ivo.. nishushe hapa pananitosha....wew wasema twende tu.....basi mm nashuka naondoka peke yangu..UNALAUMU NINI??
"Nijukumu lako mwanamke kujikontrol kuhusu kubeba au kutobeba mimba....Kama unataka mimba na mpenzi uliyenaye...mshirikishe na aridhie. HATUTAKI MIMBA ZA BAHATI-NASIBU..zama hizi. Wanawake wasiojitambua...wengi wao ni wahanga wa kukataliwa na mimba yao.
Wewe ni ww....tumbo ni lako....mlango wa uzazi ni wew unayefungua na kufunga...JE, INA MAANA HUJUI NI VIPI WAWEZA PATA MIMBA.....AU USIPATE???
Simama kwa nafasi yako...acha kubahatisha...fanya uamuzi sahihi na kwa wakati...vinginevyo hapa ni emortion za wazazi wenye watoto wa kike/ wadada na wakaka ambao dada zao yamewakuta yahusuyo hii MADA. Ndio hizo hasira. IJUE KWELI....NA KWELI IKUWEKE HURU.

100% umesema yote niliyotaka kusema...wanawake tuwe makini...mwsho wa siku sisi ndo wabeba mzigo na mateso...tusithubutu kumtega mtu kwa mimba ili attutimizie jambo fulani...na tusikubali kujishusha eti tu kumfurahisha mpenzi..niko kwa danger days halafu wataka bila condom..and to plz u ili usiniache..nakubali..mwsho wa siku ndo haya sasa..ya kukataliwa..kuteswa..kunyanyaswa..
 
Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.Mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.Ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.Maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.Imekuwa kama umefuga chui ndani.NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.


how old are you?
 
Guys ni gharama sana kuishi na mwanamke usiempenda, si vizuri kutelekeza mtoto lakini kuishi nae huyo mzazi pia hakutakuwa na amani ndani ya familia.

Bibi yangu aliwahi kunishauri kua: maisha Ya ndoa ni lazima mmoja awe kiziwi na mwingine kipofu. Ila kama wote wajuaji ndo hayo unayoyasema yataonekana.
 
Hivi unaweza kusimamisha kwa mtu usiyempenda kweli?

Hivi baba yako angekukataa ww au angemkana mama yako ungekuwa na hali gani?
Aliyekwambia aman ndan ya nyumba inaletwa na mwanamke uliyempenda ni nan?

Unaweza kumpenda mwanamke lakn akawa maharage ya mbeya na ukaishia kuishi kwa presha sasa aman hapo iko wapi?

Msisingizie eti sikumpenda,, aman ya ndoa ndan ya nyumba inaletwa na ww mwenyew kulingana na uelewa wako na mwenendo wako.

apo kwenye red, ndo swali gani sasa hilo unauliza?

Kuna mambo mawili:

(a) KUPENDA for real.

(b) KUTAMANI for sexual need (hata kama hujampenda).

Sasa nikuulize: Mfano wanaume wanaopanga foleni kwa machangudoa, huwa wanakuwa wamewapenda??? na je wanasimamisha au hawasimamishi?

Kama wewe ni 'mwanaume rijali' usingeuliza swali kama hilo, na mpaka apo nadhani ushaelewa. Ila nahisi wewe ni wa 'kike' ndo maana umeuliza hivyo.

Additional question: Kwanini wanawake machizi/vichaa wanapata mimba kama kawa? CC Evelyn Salt

My take 1: The major similarity between MEN and RATS is that They always search for new holes.
My take 2: Kichwa kidogo kikisimama, kikubwa hakifanyi kazi for a moment.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom