Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

Hapa hujatenda haki kwa tunaohitaji watoto zaidi na Mwanaume kamili huwezi kusex na mwanamke hasiyekuwa na mvuto kwako.

Mnahitaji watoto ila wanawake hamhitaji...kawekeni bas hizo shahawa zenu kwenye chupa mbona watoto wa hivyo wapo tu
 
mumuelwe mleta mada, kulazimisha mleta mada kua amekosea si sahihi ni sawa na kulazimisha eti kila mtu unaekua na mhusiano naye basi ni lazima umuoe, kwanza ni mahusiano alafu kama atakufaa kwa ndoa ndio unaoa sas hii biashara ya kulazimishana ndio sio sahihi
 
Rudia kusoma kasema ``nawapa big up wanaume wanaowakana WANAWAKE waliowapa mimba" hajasema wanaokana mimba. Maana yake si lazima kuoa au kuishi na mwanamke kwa ajili tu ya kumtundika mimba.
Nadhani mpaka hapo utaelewa kama ni mwepesi kuelewa ukieleweshwa.

utawezaje kugegedana na mtu usiyempenda. Nampaka ufikie kumjaza mimba halafu leo uje useme hukumpenda hivi inakuja akilini?

Huko ni kukwepa majukumu.
 
mumuelwe mleta mada, kulazimisha mleta mada kua amekosea si sahihi ni sawa na kulazimisha eti kila mtu unaekua na mhusiano naye basi ni lazima umuoe, kwanza ni mahusiano alafu kama atakufaa kwa ndoa ndio unaoa sas hii biashara ya kulazimishana ndio sio sahihi
Na sisi tunachopinga Ni kwa nini uwe na mahusiano na mtu unayeona Kuwa hakufai au Humpendi? Kwa nini usimuache tu ukaenda kutafuta Mtu unayehisi mnaendana? Mtu humpendi sijui kuanzia Huku juu, ila chini kwake unapapenda, Kweli Ni haki Jamani? Please it's wise Mtu ukawa na mpenzi mnayeridhiana, hata ikitokea kapata mimba, hutowaza Mara mbili kumchukua na kuishi naye Kama sio Kumuoa Kabisa
 
saa ya kukata viuno mnakatika kama hamna mifupa afu baadae eti sikumpenda qumammmae zenyu!!!

Nawewe unaekubali kupigwa pu.mbu kabla ya ndoa ama nje ya ndoa bila kinga yoyote ya mimba au vvu, kmannina zako mara milioni mia nane na kila ukipumua kmammae zako, kila ukigongwa qummanina zako.
 
Hivi unaweza kusimamisha kwa mtu usiyempenda kweli?

Hivi baba yako angekukataa ww au angemkana mama yako ungekuwa na hali gani?
Aliyekwambia aman ndan ya nyumba inaletwa na mwanamke uliyempenda ni nan?

Unaweza kumpenda mwanamke lakn akawa maharage ya mbeya na ukaishia kuishi kwa presha sasa aman hapo iko wapi?

Msisingizie eti sikumpenda,, aman ya ndoa ndan ya nyumba inaletwa na ww mwenyew kulingana na uelewa wako na mwenendo wako.

Ndivyo unavyoweza kuona Wengine wanaishi il a rohoni kama wanyama tu
 
Kuweni waelewa kwa wale mnaotokwa na povu na wanaume wengine ambao ni wanafiki jamaa anazungumzia kuishi na mwanamke usiyempenda kisa umempa mimba.. Hajakataa mimba wala mtoto ila kuishi nae ndo shida aisee.. Hamtakua na furaha hata kidogo nyinyi wenyewe mashaidi.. Halafu mwanaume wa ukweli hakatai mimba wala kulea mtoto.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nawewe unaekubali kupigwa pu.mbu kabla ya ndoa ama nje ya ndoa bila kinga yoyote ya mimba au vvu, kmannina zako mara milioni mia nane na kila ukipumua kmammae zako, kila ukigongwa qummanina zako.

Heeee hebu relax kwanza wewe utakufa na presha hapa wakati siku chache zimebaki tumalize mwaka, af bajeti
imekaba nsijeshindwa kutoa rambirambi nkaonekana mkono wa birika hadi kwa marehemu...
chukua glass ya maji kunywa uvute pumz af rudi hapa unambie kilichokupanikisha au nawewe umemkataa mwenye mimba???
naona tu umefyatuka kama bao....
 
da ni kweli wanawake wengi ambao kuolewa kwao ni kwa sababu ya mimba ni tabu sana.kila kitu sababu inapelekwa kwa mtoto.at last wengi wao ni wagomvi kwa vile huheshimu uwepo wa mtoto kuliko mume<br>
<br>
<br>
<br>
 
Heeee hebu relax kwanza wewe utakufa na presha hapa wakati siku chache zimebaki tumalize mwaka, af bajeti
imekaba nsijeshindwa kutoa rambirambi nkaonekana mkono wa birika hadi kwa marehemu...
chukua glass ya maji kunywa uvute pumz af rudi hapa unambie kilichokupanikisha au nawewe umemkataa mwenye mimba???
naona tu umefyatuka kama bao....

Hakyamungu hapa ukija moto unaondoka baridi, maneno mazito haya.
 
Mnahitaji watoto ila wanawake hamhitaji...kawekeni bas hizo shahawa zenu kwenye chupa mbona watoto wa hivyo wapo tu

Ni wapi nimesema sihitaji mwanamke?

Ninachokisema hapa nikizaa na mwanamke ana sifa zote za mke naomba tuelewane mimi siyo sperm donor.
 
Matokeo ya kuvua boxer ovyo kwa kila anayepita ndio haya. Vijana wa kiume muache hiyo tabia kulala na kila mwanamke, inabidi sasa wanaume ndio tujitawale coz hawa dada zetu hawana breki tena...!!!
 
Back
Top Bottom