Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
0
Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.Mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.Ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.Maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.Imekuwa kama umefuga chui ndani.NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.
 
Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
23,663
2,000
Acha ujinga.
Kukataa/kukana mimba sio solution. Unachotakiwa kwenye hali kama hiyo ni kukubali mimba na kulea mtoto bila kuoa kwa shurti. Besides, kama hizo mimba huwa mnadunga za kazi gani kama majukumu
hamyawezi?! Condom si mnazijua?! Na hao wanawake msiowapenda mnahangaika nao wa kazi gani?!Waacheni watafute/wakutane na wanaowapenda na nyie mtafute mnaowapenda ili likitokea la kutokea mnabebana jumla tu bila purukushani.

Embu kueni bana..acheni kujifanya watoto ilhali umri umeenda.
 
BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,731
2,000
Guys ni gharama sana kuishi na mwanamke usiempenda, si vizuri kutelekeza mtoto lakini kuishi nae huyo mzazi pia hakutakuwa na amani ndani ya familia.
 
kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,457
2,000
Acha ujinga.
Kukataa/kukana mimba sio solution. Unachotakiwa kwenye hali kama hiyo ni kukubali mimba na kulea mtoto bila kuoa kwa shurti. Besides, kama hizo mimba huwa mnadunga za kazi gani kama majukumu
hamyawezi?! Condom si mnazijua?! Na hao wanawake msiowapenda mnahangaika nao wa kazi gani?!Waacheni watafute/wakutane na wanaowapenda na nyie mtafute mnaowapenda ili likitokea la kutokea mnabebana jumla tu bila purukushani.

Embu kueni bana..acheni kujifanya watoto ilhali umri umeenda.

Hajakana mimba wala kulea mtoto ila anakana kulazimika kumuoa kisa umemtia mimba tu.
 
Baby is Mad

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
279
0
Kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.Wanajiepusha na matatizo mengi.Wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.Mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.Ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.Maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.Imekuwa kama umefuga chui ndani.NAwapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.

The whole of my body feel dirty,after reading this stupid output.
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,765
2,000
Hivi unaweza kusimamisha kwa mtu usiyempenda kweli?

Hivi baba yako angekukataa ww au angemkana mama yako ungekuwa na hali gani?
Aliyekwambia aman ndan ya nyumba inaletwa na mwanamke uliyempenda ni nan?

Unaweza kumpenda mwanamke lakn akawa maharage ya mbeya na ukaishia kuishi kwa presha sasa aman hapo iko wapi?

Msisingizie eti sikumpenda,, aman ya ndoa ndan ya nyumba inaletwa na ww mwenyew kulingana na uelewa wako na mwenendo wako.
 
Wazo Langu

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
1,377
2,000
Kukataa mimba ni sawa kabisa na kutoa mimba.
So unawapongeza na wanaotoa mimba pia??

Vinginevyo wewe ni mnafiki.
 
kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,457
2,000
Umesoma mpaka mwisho? Amesema anawapa big up wanaume wanaokana mimba

Rudia kusoma kasema ``nawapa big up wanaume wanaowakana WANAWAKE waliowapa mimba" hajasema wanaokana mimba. Maana yake si lazima kuoa au kuishi na mwanamke kwa ajili tu ya kumtundika mimba.
Nadhani mpaka hapo utaelewa kama ni mwepesi kuelewa ukieleweshwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom