Madhara ya kuishi na mwanamke bila kupenda kwa kuwa umezaa naye

Hivi unaweza kusimamisha kwa mtu usiyempenda kweli?

Hivi baba yako angekukataa ww au angemkana mama yako ungekuwa na hali gani?
Aliyekwambia aman ndan ya nyumba inaletwa na mwanamke uliyempenda ni nan?

Unaweza kumpenda mwanamke lakn akawa maharage ya mbeya na ukaishia kuishi kwa presha sasa aman hapo iko wapi?

Msisingizie eti sikumpenda,, aman ya ndoa ndan ya nyumba inaletwa na ww mwenyew kulingana na uelewa wako na mwenendo wako.

Kuna wanawake hawapendeki ila wana mvuto wa kufanya mapenzi tuuu.
 
Heeee hebu relax kwanza wewe utakufa na presha hapa wakati siku chache zimebaki tumalize mwaka, af bajeti
imekaba nsijeshindwa kutoa rambirambi nkaonekana mkono wa birika hadi kwa marehemu...
chukua glass ya maji kunywa uvute pumz af rudi hapa unambie kilichokupanikisha au nawewe umemkataa mwenye mimba???
naona tu umefyatuka kama bao....

Hahahahaaaaaaa.....!!!!
 
Acha ujinga.
Kukataa/kukana mimba sio solution. Unachotakiwa kwenye hali kama hiyo ni kukubali mimba na kulea mtoto bila kuoa kwa shurti. Besides, kama hizo mimba huwa mnadunga za kazi gani kama majukumu
hamyawezi?! Condom si mnazijua?! Na hao wanawake msiowapenda mnahangaika nao wa kazi gani?!Waacheni watafute/wakutane na wanaowapenda na nyie mtafute mnaowapenda ili likitokea la kutokea mnabebana jumla tu bila purukushani.

Embu kueni bana..acheni kujifanya watoto ilhali umri umeenda.

Wacha kubishia jambo lazima ujue sikila mimba ina muelekeo mmoja, mimba nyingine huwa niza utata ulio wazi na kama una akili timam lazima uwena mashakanayo. Kuna mitihan ming ndugu na kama unayasikia kwa wengine waweza laum mtu lakini haya masuala nimagum
 
Naona tu mmefarakana kifikra juu ya mtoa mada na yaliyomo. Kusoma ni kuelewa, kama umesoma na hukuelewa.....maana hujasoma kitu....kasome tena na uelewe.
Ukichangia kwa namna ya mguso wa hisia kali(emortional), unakuwa umefeli kuwakomboa wajinga...ambao wanafollow mawazo yako hapa.
KASEMA...WAKATI MWINGINE ANAWAPA BIG-UP...wanaume wanaowakana wanawake wenye mimba zao.
IVIII...mwanaume amekuona...amekutamani...amebuni namna ya kukupata....amekushawishi na umeshawishika..
. Shida yake ya kwanza ni kukulala....mapenz yanazaliwa, yanakua, pia yanakufa.
Swala la mimba linataka mipango na makubaliano. Wew umetongozwa tuuu....mnashiriki tuuu, wala mwendelezo wa kulalana kwenu hauna ramani...ATI UMEBEBA MIMBA!!!!
Imagine, niko njiani natembea...umepita na gari yako...nikakuomba lift kwa kuwa unaeleke ninakoelekea.
Huko mbeleni...umenogewa..na wataka unifikishe niendako....nami sina wazo la kufika na wewe huko.. niendako na sitaki iwe ivo.. nishushe hapa pananitosha....wew wasema twende tu.....basi mm nashuka naondoka peke yangu..UNALAUMU NINI??
"Nijukumu lako mwanamke kujikontrol kuhusu kubeba au kutobeba mimba....Kama unataka mimba na mpenzi uliyenaye...mshirikishe na aridhie. HATUTAKI MIMBA ZA BAHATI-NASIBU..zama hizi. Wanawake wasiojitambua...wengi wao ni wahanga wa kukataliwa na mimba yao.
Wewe ni ww....tumbo ni lako....mlango wa uzazi ni wew unayefungua na kufunga...JE, INA MAANA HUJUI NI VIPI WAWEZA PATA MIMBA.....AU USIPATE???
Simama kwa nafasi yako...acha kubahatisha...fanya uamuzi sahihi na kwa wakati...vinginevyo hapa ni emortion za wazazi wenye watoto wa kike/ wadada na wakaka ambao dada zao yamewakuta yahusuyo hii MADA. Ndio hizo hasira. IJUE KWELI....NA KWELI IKUWEKE HURU.
 
Kama jambo hili waona ni gumu...rejea mistari ya mchangiaji Mzee Chibayi kwa mada hii hii. Maelezo yake ni mafupi sana...lakn ni very very clear. USOPOELEWA APO WEWE NI SHIDA BANA.
 
Kuna kitu kinaitwa kuoa mimba! Mwanaume timamu hapaswi kufanya hivyo.

Wanawake wenye kulazmisha mimba ili waolewe, wanaishia tu kusababisha watoto wanaolelewa na mzazi mmoja bila sababu za msingi.......

Tafadhali dada zangu, acheni haya. Ni vema kumkubali mtu baada ya kujua malengo yake.

Usijifanye kulaumu wanaume wanaokacha mimba za kufosiwa wakati moyoni unajua ilikua ni mtego kwa sababu ulishajua hana malengo na wewe. Ona huruma kwa utakaemzaa.....
 
Nadhani mtoa uzi ameshindwa kuipa nyama uzi wake vizuri. Kwenye title ameandika madhara kwenye nyama kaandika vitu tofauti hadi ameharibu ladha ya uzi wenyewe hadi unafika mahala unajuta kwanini umeusoma huu uzi.
 
Mwanamke mwerevu atajua namna ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa as si kila mwanaume utakaelala nae atakuoa, au anakupenda kwa dhati kama anavokuaminisha!
Women be care! Hili ni somo tosha! Mimba zije baada ya ndoa!
Ukiamua kucheza bahati nasibu basi tarajia yote kukimbiwa ama kuolewa!
 
Kwa wanaume sex ni kutimiza mihemko...na si lazima kila anaye sex naye anampenda...
Ingekuwa hivyo machangu wasingepata wateja...
Kwa hiyo itakuwa ajabu kutumia 'kusimamisha' kama kigezo cha pendo...

(yani mwanaume akisimamisha tu basi ndio u conclude anakupenda...te te te...kichwa cha pili hakina uhusiano na ubongo)
 
kumbe wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba wakat mwingine wanafanya uamuzi nzuri sana.wanajiepusha na matatizo mengi.wanawake wengi baada ya kupewa mimba wanalazimisha kuishi pamoja na wanaume waliowapa mimba hata kama mwanamume hakuwa tayari. Hali hii huwakuta wanaume wenye kipato kizuri,kibaya zaidi mwanaume hujikuta kwenye matatizo akikubali kuishi pamoja na mwanamke aliyempa ujaizito kwani akijifungua vibweka vinaanza.mwanaume hujikuta kwenye wakati mgumu hasa pale mwanamke akijua unataka mulee mtoto wenu pamoja.ujeuri,ubabe,ugomvi kila siku,unajuta kwa nini umekubali ile mimba.maisha yako yanakosa amani,unatamani ukimbie mji wako.imekuwa kama umefuga chui ndani.nawapa big up wanaume wanaowakana wanawake wanaowapa mimba.

sijaona cha ubora apo! Bali umeongea kiujambaz zaid
 
Jamaaalietoa hii post hajakosea na mnaopinga hayajawakuta" issue iko hivi pind mnapotongozana wote huwa mnaficha makucha na kila mmoha kuonesha kama anampenda sana mwenzake lakin mtu wa kwanza kumuudh mwenzaje pind ujauzito anaposhika mwanamke ni mwanamke kwa kuwa na jeur moja ya kuona sasa mwanamume huwezkuruja tena" ndipo makucha yake huyachomoa " tena kwa ujeur mithir ya paka aliekanyagwa mkia" utavumilia mwanamume mwisho wake utacgoja kwa sababu ni kila siku visa haviishi waweza vumilia na kujipa moyo kwamba labda ni kipind tu cha ujauzito akijifungua kwenye kulea mtt atajirud hal yake ya zamaan lakini mmh yaan sasa ibazid mara mvil mpaka inafikia unajuta " mbaya zaid awe mdakaj tuu yaan goli kipa yaan utakoma ww mpaka ikafike kipind amvacho atakuwa mtt na kumchukuwa ww umekona tena unekoma hasa" mmh jamani nyie achen tu omben muyasikie kulikon yakufike utajuta hata kwa nn .mliingiliana dry dry
 
Back
Top Bottom