Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

Kibailojia hakuna madhara iwapo utafanya ngono salama. Ila hili la kuwa ni mke wa mtu mmmh! hata shetani atakugeuka na kusema yeye hausiki
 
Moja,....Kama unao ugonjwa wa STI or HIV/AIDS unaweza kusababisha uharibifu wa mfuko wa uzazi - wao wanaita - PPROM (Preterm Premature Rupture on Membrane)...!

Mbili,... Acha zinaa...!
 
ningepata tenda ya kukushughulikia wewe hakika ningekurarua kwa radi?? umeharibu ndoa ya mwenzako kisha unaomba ushauri!!
 
Nadhani dogo alichouliza ni ''kuna madhara kufanya tendo la ndoa na mjamzito'' watu wameenda mbali kuhusiaana na kuwa rti ni mke wa mtu sijui nn, ok dogo kiufupi hakuna madhara kufanya ngono na mwanamke mjamzito, mke mjamzito kama hana matatizo unaweza kugegeda mpaka miezi saba ya mimba. Hayo ya mke wa mtu, sijui wametengana utajua mwenyewe na mpenzi wako.
 
anakuibia huyo, ohhooo!

We endelea kulea watoto wa wenzio, utabakia kushikilia pembe wenzio wanakamua maziwa kiulaini!
 
jino kwa jino

Hongera kwa kuopoa , hapo unapiga ndege wawili kwa jiwe moja.

Unajipatia mama na mwana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Eeka sir
Finye kulefinya Mbe;...chaaa...nadee waka wa wa-wandu; nan'she oke

Ha ha haaaaaaaaa mkuu hi cha kule omarini kabisa. Deeya luwye wana mbonyi. Walendekabyo kikongo ewa wa siku iti!
 
Haya mambo si mazuri katika jamii ya kufurahia ndoa ya mwenzio kuvunjika ili upate mke:fear:
 
Haya mambo si mazuri katika jamii ya kufurahia ndoa ya mwenzio kuvunjika ili upate mke:fear:
 
Back
Top Bottom