Anayo kuambia huyo mwanamke sio ya kweli. Lakini vile vile yanaweza kuwa kweli.
Naanza na sio kweli asemayo.
Ingekuwa hivo basi mimba nyingi na watoto wengi wange haribika hapa duniani.
Niliona dada mmoja katiwa mimba na mwanaume mwingine na kaenda kuolewa na mwingine na mimba yake, haikuaribika na wala mtoto hakuaribika.
Fikiria wanawake wanao enda kutiwa mimba nje ya ndoa na mimba ikalelewa na mume, mbona haziaribiki?
NI KWELI YAWEZA KUARIBIKA
Kama mwanamme ana magonjwa ya zinaa yatakayo weza kuambukiza mwanamke mjamzito kama vile HIV, gono, kaswende, nk basi inaweza kumuambukiza mtoto tumboni pia, ni uaribifu wa mimba unaosemwa na wazee wetu.
Na hii hata mume wako wa ndoa anaweza kuaribu mimba yako ikiwa kaenda nje ya ndoa na kuzoa gonjwa na kukuletea. Mtoto anaweza kuaribika ni kweli, anaweza kuathirika, hasikomae akili, alemae viungo ama kazaliwa kabla ya kukomaa na kufariki. Kutokana na bakteria ama virus.
sijui umelewa kaka yangu?
Mwanamke mjamzito anaweza kufanya mapenzi na mtu yeyote yule na mtoto hasiaribike, ikiwa anae fanya nae mapenzi hana ugonjwa mbaya utakao ambukiza mama na mtoto.
Kwaiyo kama unamtaka masharti