Enzi za uzinzi, niliandika sana majina ya wanangu, nachukua jina lake halisi, naongezea na la utani. Namba ya simu naandika ya kwake.
Napiga picha kitabu namtumia picha yenye ujumbe asiende guest kwa siku ya leo, jina lake lishatumika.
π€£π
Ujana ni nusu ya uwendawazimu π€£π