Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Screenshot_20250701-092712.jpg
 
Enzi za uzinzi, niliandika sana majina ya wanangu, nachukua jina lake halisi, naongezea na la utani. Namba ya simu naandika ya kwake.
Napiga picha kitabu namtumia picha yenye ujumbe asiende guest kwa siku ya leo, jina lake lishatumika.
🤣😂

Ujana ni nusu ya uwendawazimu 🤣😂
 
Mimi mpaka leo naandikaga jina la mshikaji na no yake ya simu
 
Kwa ambao safari zao ni za halali huwa hawana haja ya kuandika taarifa za Uongo. Shida ipo kwa WAZINZI
Kuna hotel sasa hivi mtu unaweza kujiandikia tu taarifa bila copy ya ID?
 
Ukiandika taarifa za uongo gesti, je ukifia huko nani atajua ukweli?
 
Yeah
Last time kwenye msako Lodge za Ubungo, walifika maaskari kukagua lodge wilaya nzima. Daftari likapita kukagua majina kila chumba kuna jamaa aliandika jina la uongo alipigwa laki na nusu na wale maaskari

Na sis tulipigwa hela kwa sababu kuna mfanyakazi hakuandika jina la mteja mmoja. TRA walituandikia fine 1.5 million jwa sababu mfanyakazi alitaka kuchikichia hela ya mauzo

Andikeni majina guest ni muhimu
 
Niliandika majina ya ma Prof. Na Dr's wa mlimani miaka imekwenda
 
Wapo wanafanya hivi kwa kujua na wengine kwa kutokujua, wanaofanya makusudi mara nyingi huwa wanaenda humo wakiwa na vitendo viovu.
 
Back
Top Bottom