Madhara ya glycerine ni yapi?

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
Habari zen wakuu...jamani eeh nipo kwenye baridi yaani hata upake mafuta ngoma inadunda..yaani napauka mpaka nahic ngozi inachanika...nimeambiwa nipake glycerine je hiyo kitu haina madhara? Haichubui?

Tena nimeambiwa nipate ya Zambia..nimeenda kuulizia madukani zipo kibao alafu buku tu ila nimeona nije niulize humu kwa wajuzi kabla ya kuanza kuoga hizo glycerine
 
Glycerine madhara makubwa ninayo yajua kuwa inaziba matundu ya nywele ndogo kwenye ngozi.

Ikishaziba itakufanya ngozi kutopumua vizuri na iyo glycerine inaingia ndani ya ngozi itakufanya upunguze uwezo wa ku sence hali yahewa kuwa sasa ni ya baridi au joto wewe utaona ni kwawaida ndio maana wamekuambia utumie iyo.

Pia ukiziba matundu ya ngozi uwezo wakujashuka utapungua na jasho ni taka mwili inatakiwa itoke nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom