Madhara ya alozera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya alozera

Discussion in 'JF Doctor' started by NIMEKIMBIA CCM, Oct 3, 2012.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadau huwa napenda kutumia alozera lakini kutokana na muda wangu kuwa mdogo huwa natengeneza nyingi ambayo huweza kukaa hata siku 5 na siweki kwenye friji nje ya kuwa inaweza kulewesha je kuna madhara naweza kupata kutokana na utunzaji huo? naomba msaada wadau
  NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU NA MUNGU AWABARIKI
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mkuu ni rozela ama alozera? je ni ile yenye majani mekundu?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kuna LOZERA na ALOVERA je unamaanisha ipi?
   
 4. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni ile yenye majani mekundu(asante muheshimiwa kwa kunirahishia kujielezea)
   
 5. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lozera kaka asante sana
   
 6. M

  Msabaha lk Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sidhani kama madhara yatakuwepo ila chamsingi hifadhi sehemu safi na salama.
   
 7. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama ukiweka sukari baada ya hizo siku inachachuka na kua pombe kama hujawahi kunywa pombe kabisa unaweza ukalewa kwa mbali
   
 8. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wajameni hivi hiyo Lozera huwa inatibu nini? Tafadhalini nijuzeni manake huwa naiona kwenye baadhi ya maduka ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki, almaarufu rambo nyeupe. Nimejaribu kuwauliza wauzaji hunipa majibu kuwa inaongeza damu na ni nzuri kwa kuitengeneza kama juisi! Mkuu MziziMkavu hebu nena nikusikie.
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  kama unaitumia kama dawa jitahidi kuitumia kwa muda wa siku 2 ili kuepuka kupotezd nguvu yake. kama unaitumia kama juice, baada ya siku tano haitakuwa na ladha nzuri. ama huwa unaifurahia ladha yake?
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Hajielewi, hebu naomba uache kumuuliza maswali ya degree mwanafunzi wa darasa la tatu A
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  upo? U
  emisika! Mpemba hajambo?
   
 12. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante msomi wewe mwenye degree lakini mbona inaonekana unaukosea haki usomi wako umekosa busara(karibu darasa la tatu a tukupe elimu ya busara na kujua kuheshimu hata walio chini ya kiwango cha elimu yako0'
   
 13. s

  sacha Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ile ina tabia ya kuchachuka km pombe...kwa kuwa utengenezaji wake n rahis jitahid kutengeneza kias cha kutumia kwa cku 2..hifadhi sehemu isiyo na joto kukwepa kuchacha..inasemekana ni nzur,inasaidia digestion..pia inaongeza sana damu!!!
   
Loading...