Naunga mkono hoja.Madhara makubwa ya AC kwa mtumiaji ni kupata nimonia. Nimonia ni ugonjwa wa kuharibika kwa mapafu, kunako sababishwa na gesi ya AC unayovuta uki iwasha.
Inashauriwa kama wewe ni mtumiaji wa AC mara kwa mara jitahidi kunywa chai mara nyingi ili kuondoa kiasi cha gesi ya AC kwenye mapafu.
Usipoitibu nimonia kwa mda mrefu hupelekea mapafu kuoza na mgonjwa kushindwa kupumua.
mkuu huko umegusa pengine utawafanya watu waache kuzitumia.Naunga mkono hoja.
Halafu zinapunguza Adroid(Nguvu za Kiume)
Ungeambiwa AC inapunguza nguvu za kiume ungeenda kuzing'oa fastaHaina madhara yoyote
Hahahaha,mkuu we chunguza,ukiwa na Dem ukienda nae kwenye Guest House yenye AC utakuta show inakuwa fupi na inapooza,ila ukienda kwenye zile zetu za nguvu feni aisee mpaka unafukuzwa kwenye chumba kwamba muda umeisha.mkuu huko umegusa pengine utawafanya watu waache kuzitumia.
Carbon monoxide, bonge la sumu. Inakuua ukiwa usingizini kirahisi sana tuuNaomba kuuliza, hivi kama mtu akifunga AC na kile kifaa kinachofungwa nje kuigeuzia kwenye dirisha la mtu, huyo mtu anaweza kuathirika vipi?
Asante
Maneno ya mkosajiHewa safi haitengenezwi jamani eeee
Tuache utani,AC ni Sumu
Sijutii kununua Kiwanja Kikubwa na kupanda miti yenye kivuli ili kupata upepo safu.
AC inapunguza nguvu za kiume,halafu ina ufanya mwili kuathirika kwa hali ya ubaridi.Kuna Rafiki yangu aliwazoesha wanawe AC basi walienda kwa Bibi yao tena wakati wa Masika basi walishindwa Kukaa eti wanasema joto,wakatokwa na vipele teleee,ndio nikasema hii balaa