Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,989
- 95,533
Shemeji nilijua tu nitakuona kwenye huu Uzi😹😹😹Hilo ni true by 80% moja sifa yao kubwa inayowapa nyota 5 kuelekea ndoani.
Japo kiburi na ubabe ndio huwa vinawaponza wengi ambao akili zao zinakuwa za kukopa kwa mama mkwe na mashangazi baada ya kuolewa. Wengi wanao cancel itikadi za kwao wakiolewa huwa wanakuwa wake wazuri sana ila wanaokumbatia hizo tabia wanawapa tabu waume.