Riskytaker
Senior Member
- Mar 14, 2024
- 173
- 756
Utamlea vp mkuu mtoto mchanga anahitaj mama zaid ya babaDah.. natamani sana nimzalishe mdada then anisusie huyo mtoto then nimuonyeshe show... unakwama wapi Mkuu?
Jamaa anaweza geuka mama huwezi kujuaUtamlea vp mkuu mtoto mchanga anahitaj mama zaid ya baba
Unaoaje mnyakyusa inamaana umekosa wanawake woteMama ndo mwenye sauti yaani mama anakua na kaubabe flan ivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Technical wengi wao hawafai kuoawanawake wa kinyaki ni wababe na ukikaa ki daslama anakubonda
Mkuu, mtoto atalelewa, na atasimama, na atakua mtu na kioo cha jamii, tunaweza kulea mbwa, kuku bila mama zao sembuse binadamu, tena damu yangu?Utamlea vp mkuu mtoto mchanga anahitaj mama zaid ya baba
Huwez kutoa kizembe ndo maana Mungu akatupa uwezo wa kufikiriWape hiyo 250k yaishe, mambo ya kifamilia hayatakagi mashindano
Kweli lugha gongana zipo nimeaminiUnaoaje msukuma
Hio familia haifai achana nayo wananjaa hao, Baba katekwa kwanza Baba ndiye anaeozesha mtoto sio mama kwenye hilo kabila, mkatae huyo mwanamke mbeleni utajuta hio sio familia ulichokiona kwa mama mkwe ndio huyo ulozaa nae, Mpigie chini mwambie ulichokiona kinakupa kiza mbeleniMama ndo mwenye sauti yaani mama anakua na kaubabe flan ivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Haambiwa wanagawana sasa ni bora ukawasikizaHuwez kutoa kizembe ndo maana Mungu akatupa uwezo wa kufikiri
Hakuna mwanamke wa kuzaa akuachie kichanga aende zake labda tu kama ana matatizo ya akiliMkuu, mtoto atalelewa, na atasimama, na atakua mtu na kioo cha jamii, tunaweza kulea mbwa, kuku bila mama zao sembuse binadamu, tena damu yangu?
Unapigwaje na mwanamke mzee kwa mfano yaani anaanza wapi kukupiga wewe mtoto wa kiume?wanawake wa kinyaki ni wababe na ukikaa ki daslama anakubonda
Typing error i mean mnyakyusaKweli lugha gongana zipo nimeamini