Smile ulishaonanaga nao!!!!!!!mie Rio na Joel kuna kijiwe kimoja nawaonaga daily
ndio kweli majembe.... Simipini tunawaingilia
Umejuaje?Huyo wakat saut yk inamtoa nyoka pangon.
Rio huwa anaendeshwa kwenye jiRange Rover Jeusi T ----
Kuna jamaa mmoja alikuwa anakabandua ako ka rio,sasa kuna siku tulikuw washkaj kama wanne ivi,huyo basha wake akawa anaongea nae kwenye simu akamwambia rio wasalimie shemeji zako,kweli bhna tukaongea nae wote,dah mtoto anapiga lugha hatari ,sauti sasa na pozi nikachoka mwenyewe,uwa anamtoag sana mpunga jamaa,izo million moja mbil jamaa anazila sana kutok kwa rio
mmh hana uwezo wa kutoa million
Wa katikati pigia mstari.
Hao kweli ni "Majembe", labda tujiulize "Mipini" ya hayo majembe ni kina nani!!
Some people are alive because it is illegal kill them.
huyo wa kati haina mjadala.........
Mbona wapo poa tu jamani
Tatizo maisha kaka,wenzetu mambo safi,wanakula burgers,mayai,pizza an all european foods,compare na akina sie sembe na dagaa kwenda mbele,sasa unatak wafanane na watoto wa tandika?.obviously No..sometimes malezi yanachangia
nasikia anakaa na kibabu cha kizungu hiko kibabu kinafanya gas company kibabu eti kina miwaya na kamuhonga freelander cc Smile Heaven on Earth
nasikia anakaa na kibabu cha kizungu hiko kibabu kinafanya gas company kibabu eti kina miwaya na kamuhonga freelander cc Smile Heaven on Earth
Yah,kweli unamfahamu kaka,yaani dunia imeoza kwa hiyo na yeye anataka kushindana na Mange kimambi?..
nimfahamie wapi mie maudaku ya mtandaoni tu.Afu mi mdada.
Insta