Madereva Wakiganda Wabakwa!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,648
4,203
Jamani hili zogo la Kenya has taken a direction of its own. Gazeti moja la Uganda linaripoti kua Madereva wakiganda walirukiwa
na vijana f'lani na kufanyiwa vitendo kinyume na starehe za kimaumbile....MAELEZO ZAIDI!!!
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,180
659
nawapa pole kwa mkasa huo.

kuna watu huko mombasa mambo hayo wanayapenda kweli kweli
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,648
4,203
nawapa pole kwa mkasa huo.

kuna watu huko mombasa mambo hayo wanayapenda kweli kweli

Hahaha!!...wewe Mtu wa Pwani naona unanitafuta na maneno...
si waandishi wamesema ishu imetokea Nakuru?...mbona weye unataka kututia
katika hilo gora bwanaa?...Sisi hatumo aisee, haya ni ya wabara!

Seriuosly though, this was tragic and wrong!
 

Allah's Slave

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
562
44
Jamani hili zogo la Kenya has taken a direction of its own. Gazeti moja la Uganda linaripoti kua Madereva wakiganda walirukiwa
na vijana f'lani na kufanyiwa vitendo kinyume na starehe za kimaumbile....MAELEZO ZAIDI!!!


Je kubaka ni kwenda kinyume na starehe za maumbile tu? Kama ni hivyo ina maana mwanamke hawezi kubakwa.
 

hamis

New Member
Apr 6, 2008
1
0
Kwa kweli vitendo hivyo ni vya kinyama naishauri serikali ya kenya kufatilia suala hili kwa makini kwa kuwa laweza kuleta madhala makubwa kwa serikali mwisho nawapa pole sana hao jamaa waliobakwa
 

mbarikiwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
505
38
Mie ninawapa pole.
Hili ndilo kosa lililosababisha Sodoma na Gomora watu wake kuchomwa kwa moto wa kiberiti.
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,648
4,203
Unavyosema Kinyume Na Starehe Za Maumbile Una Maanisha Nini ??

Shy,

mbona sasa maswali kibao namna hii aisee?
Ok...basi inamaanisha walitiwa nanihii kwenye
naniliuu!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom