Madereva wa SU punguzeni kiburi

Madereva wa SU punguzeni kiburi

Tatizo kubwa la ma-driver wa siku hizi waliojifunzia Auto, mbarabara wote huo pembeni kwa kupitisha hata semitrela mtu anashindwa kupitisha cammi... Imagine!!
Mleta mada na wewe ni mzembe mbona barabara pana vile tatizo unaogopa kupitisha gar kwenye mawe wakati iyo ni gari kubwa, ....wacha SU, STK, DFP WAkufunze kutumia barabara

Ila mbona kama unapita hiyo nafasi?
 
Kwa michepuko hawana mpinzani .
na kwa kubeba michepuko hawana upinzani, kuanzia saa1- saa3 usiku utawakua maeneo ya baa na magrosari wakiwalisha michepuko bia na minyama choma
 
Dah, yani mkuu umeamua kabisa kuja kunianika JF? Unataka kibarua changu kiote Nyasi?
 
Ni muda huu wa saa tisa na nusu nnapita barabara ya Sahara tokea barabara ya Pamba naelekea kafiwa katoliki kwa mnaoijua Mwanza mjini mmenipata vizuri na mtakuwa mnaijua vizuri barabara ilivyo na mawe kwani kuamka kupishana Ni hadi mawe wastaarabu bila hivyo mnaweza kumaliza masaa mkitazamana sababu ya mawe yaliyopo maana unaweza kuliacha gari lako hadi. Nmefika Landcruiser ya SU imepaki kwenye mteremko na ndani dreva yumo nikamwashia Taa kwa alone mawe kidogo maana pale alipopaki kapana sana sehemu ya kupishana, jamaa akaamua na kulala kabisa kwenye usukani, ikabidi nishuke ilivyo nimwombe alone kidogo ili nipite bila madhara kwa magari yote magari, alichonijibu Ni kwa mbona magari mengine ya nnapiga? Nikamwashia inawezekana lakini unaona sehemu uloiacha ili tupite? Jamaa kasema nimekujibu kistarabu sana naomba nikae kimya na ndicho alikifanya.....
Ombi langu jamaa kwa mnaoendesha magari ya SU mjitahidi kwa wastaarabu barabarani hayo magari yamenunuliwa kwa pesa yetu na mishahara mlinalipwa pesa zetu.
Mkuu hio nafasi mbona kubwa sana, ingependeza ungetupia picha ingine umepiga kupitia wind screen ili tuone na upande wako.
 
Hizi autocorrect hizi!!!! Daadek
Mie nimezizima kabisa...nilishawahi kumuandikia mtu ninaemuheshimu sana sms kauli mbili tata zikajichomeka ktk ya sentence nikashangaa jamaa ananipigia kuniambia nilichomtumia...aisee nilitamani kama niwe kiziwi hivi ili nisisikie akinisomea.
 
Huku Dar gari zinaachiana usawa wa uzi ......by the way naona gari yako ni kubwa space ya kupita ipo......ungepita kimya kimya!
 
Hiyo barabara napita kila siku naijua zaidi ya unavyofikiria na Mimi si kichaa ndugu yangu,sehemu isiyokuwa na sababu ya kuharibu gari kwa nini nifanye majaribio?Angalia vizuri hizo mawe sharp kwa nyuma ya hiyo SU kuna sehemu kubwa tu anaweza kupaki na kusiwe na tatizo lolote na ndo nilimwomba apaki pale. Kumbuka alikuwa kapaki na kazima gari si kama tulikuwa tukipishana,my point is,kwa mini apaki hapo atuhangaishe sisi watumiaji wenzie!?
Mkuu hivi ulitaka SU asogee mbele, arudi nyuma ama a pack upande wako ili wewe upite kushoto? Or hilo eneo si packing area.
 
Mie nimezizima kabisa...nilishawahi kumuandikia mtu ninaemuheshimu sana sms kauli mbili tata zikajichomeka ktk ya sentence nikashangaa jamaa ananipigia kuniambia nilichomtumia...aisee nilitamani kama niwe kiziwi hivi ili nisisikie akinisomea.
Tuambie uliandikaje tafadhali...
 
Mkuu hapo unapita vizur bila wasiwasi hata Kama una Gari ya chini ..ila khs madereva wa stk,dfp na su you are right..wana kiburi,maringo etc..pia ndo wanaongoza kuvunja sheria za barabara..japo sio wote
 
Tuambie uliandikaje tafadhali...
Hayaandikiki humu mkuu nikijaribu nitakula BAN...yalikuwa maneno ya kuomba mchezo kwa gal nikayachanganya ktk kumjibu uncle..ilikuwa noma,mjomba ananipigia ananiuliza mwanangu unaniomba nini?duh nikawa sijamuelewa ndo kunisomea sms duh nilitmani ardhi ipasuke.
 
Hayaandikiki humu mkuu nikijaribu nitakula BAN...yalikuwa maneno ya kuomba mchezo kwa gal nikayachanganya ktk kumjibu uncle..ilikuwa noma,mjomba ananipigia ananiuliza mwanangu unaniomba nini?duh nikawa sijamuelewa ndo kunisomea sms duh nilitmani ardhi ipasuke.



Ulimuomba mjomba wako chezoo
 
Mkuu hiyo cruiser nyeupe ni ya kigogo gani? Mbona hujapiga picha gari yako tuione ilivyokwama?
 
Kaka mbona hapo unapita lakinia?
Ok nisikilize kwa makini.. Kuna magroup yapo watsapp . Fb na instagram ya RSA.. Nibox namba yako nikuunge nitakutumie sheria zake.. Kwenye magroup wapo makamanda kibao hadi kamanda Mpinga na central control room.. Ukikutana na dereva ana overtake visivyo ama amefanya kosa na ukampiga picha ukiituma tu fasta anadakwa anapewa cheti na wanaleta mrejesho..
Wengine pia wanaotaka kujiunga ni pm namba zenu..
Simple..
Kwa pamoj tunaweza kuleta heshima bara barani
 
Back
Top Bottom