Ni muda huu wa saa tisa na nusu nnapita barabara ya Sahara tokea barabara ya Pamba naelekea kafiwa katoliki kwa mnaoijua Mwanza mjini mmenipata vizuri na mtakuwa mnaijua vizuri barabara ilivyo na mawe kwani kuamka kupishana Ni hadi mawe wastaarabu bila hivyo mnaweza kumaliza masaa mkitazamana sababu ya mawe yaliyopo maana unaweza kuliacha gari lako hadi. Nmefika Landcruiser ya SU imepaki kwenye mteremko na ndani dreva yumo nikamwashia Taa kwa alone mawe kidogo maana pale alipopaki kapana sana sehemu ya kupishana, jamaa akaamua na kulala kabisa kwenye usukani, ikabidi nishuke ilivyo nimwombe alone kidogo ili nipite bila madhara kwa magari yote magari, alichonijibu Ni kwa mbona magari mengine ya nnapiga? Nikamwashia inawezekana lakini unaona sehemu uloiacha ili tupite? Jamaa kasema nimekujibu kistarabu sana naomba nikae kimya na ndicho alikifanya.....
Ombi langu jamaa kwa mnaoendesha magari ya SU mjitahidi kwa wastaarabu barabarani hayo magari yamenunuliwa kwa pesa yetu na mishahara mlinalipwa pesa zetu.
Ombi langu jamaa kwa mnaoendesha magari ya SU mjitahidi kwa wastaarabu barabarani hayo magari yamenunuliwa kwa pesa yetu na mishahara mlinalipwa pesa zetu.