Hussein Twaha
Member
- Aug 13, 2009
- 8
- 3
Kubwa ni kwamba Rufaa pekee ndio ingeswala la msingi maana sijawahi kusikia hukumu iliyotenguliwa kwa sababu ya mgomo.
Hili swali ukiliangalia kwa haraka haraka ni rahisi kweli; ukilisogelea kwa karibu na kuweka chini ya mwangaza wa darubini kali utaona kuwa limejaa kila aina ya falsafa ya kuwajibika, ufahamu wa tatizo na mapendekezo ya kutatua matatizo hayo. Ni swali la wiki kwa kweli.
Kuna elimu nzuri sana kuhus matairi na matumizi yake ilitolewa hapa JF, pia kuna siku niliona elimuhiyo ikitolewa kwenye TV zetu kule bongo.......bado watu/madereva/matajiri ni wabishi kuhus hii teknolojia ya matairi..........
.........Vyombo husika....zingatieni ukaguzi wa magari....muufanye kwa kina na sio kuuza tiketi za usalama barabarani...........
Ubora wa tairi na usalama wake pia hatari za kutumia tairi chakavu katika chombo cha usafiri wa watu wengi kama basi kila mmiliki wa mabasi ya mikoani anajua.
Kitu bora ni aghari kukitunza, kukwepa gharama itafunayo faida matajiri huanza kucheza dadu kwa kukatiza kilaini katikati ya mfumo wetu wa serikali uvujao kama nyavu za kuvulia samaki.
Gari lifika huko liendako kwa kutumia tairi chakavu au zenye ubora hafifu ni nafuu ya tajiri, lisipofika Insurance inalipa kisha tajiri anapanga dadu upya na kucheza tena.
Lakini upande mwingine ni vipi tutadhibidi ubora wa matairi wakati tunaruhusu kila aina ya bidhaa duni kuingia nchini Tanzania kama vile ardhi yetu ni dampo la bidhaa duni Duniani kote??
Ukipanda bamia huwezi vuna mahindi au mpunga utavuna bamia au hutavuna chochote.
kama kweli aliyefungwa alikuwa haendeshi wakati huo, inamaana yeye dereva mzoefu alikaa pembeni akampa gari asiye na uzoefu.
na hasa mabasi ya Mohamed trans yamezidi kwa speed kubwa, pamoja na bufalo. Mohamed trans anatoka mwanza saa 12 asubuhi na saa 2 usiku yupo DSM, hii ni hatari.
Nafikiri madereva wana mengi sana ila walitaka wapate nafasi ili nao watoe kilio chao.
1. pamoja na kupinga hukumu ya dereva mwenzao
2. wamechoka kuwa vibarua wa kudumu kwa wenye mabasi ( yaani walitaka nao wapewe ajira ikiwa pamoja na haki zote kisheria za mtu anaeajiriwa ikiwa pamoja na likizo, nssf, matibabu, nyumba na hata kulipa kodi za Serikali.
Na mengine mengi.
pamoja na kuwa mmewatesa wananchi wasiona hatia lakini kilio chenu kimefika.
Nadhani hawa madereva uelewa wao mdogo pale katika kona napajua kama ereva angechukua tahadhari mapema kwa uenesha spidi below 60. hakuna kitu kingetokea kwani yeye alikuwa anafikiria pesa zaidi za waarabu wake ndio maana spidi ilikuwa 140 kph. sasa Serikali ulifikiri haukuandalia vyote hivyo? be care wewe ungekuwepo au ndugu yako amededi i think sijui unge act vipi na ninavyokujua wewe una Hasira sana. Pia ukiangalia mabasi mengi maroli huu ni uzembe wa Serikali wa upande mwingino sasa mimi Ningekuwa Magistrate ningempa sentence to death for my suggestion my waumini wangu wamedead why?