Madereva wa malori, Nini chanzo cha hii gari kuanguka?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,586
2,000
27331778_359568357787314_1051526795199858731_n.jpg
 

Mitha

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
524
1,000
Matairi ya nyuma yametofautiana size kati ya difu na difu, au nimeona vibaya.
 

tycoonff

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
846
1,000
Huyo aliminya breki kali halafu akachezesha steering (usukani) labda akiwa anakwepa kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom