Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,569
Naona JPM anazidi washika kubaya Wakenya....naona wamekuja kivingine safari hii
Siku tukifurumusha bidhaa zao zisiingie huku Tz ndio watajua utamu wake.Naona JPM anazidi washika kubaya Wakenya....naona wamekuja kivingine safari hii
Issue ya Bomba la Mafuta limewakera kiasi hiki sijui tukiextend zaidi itakuwajekenyans bwana then na sisi tukitaka waondoke kwenye position fulan walizoshikilia hapa tz itakuwaje?
Masuala yote yanahusu South Sudan. Sijui watanzania wameingiaje kwenye suala hilo.
Mgumbuaji atawatumbuaWakenya ni majipu