Hahaha eti mmejiridhisha ni mbinu za kuharibu biashara ya utalii Arusha. Hebu walau jaribuni kutengeneza uongo unaokaribiana na ukweli.Kenge wanaanza kulialia huku wakitoa damu masikioni. Kisu kimekata mfupa...kaa!hamtasahau huu mziki
Good move....tusiishie kuwapima wakenya tu,tupime na wanachi wetu wote kama wanavyofanya wenzetu na tutoe takwimu kila siku...hili gonjwa lipo na linaua.Mkuu wa mkoa Arusha Mrisho Gambo amefunga mpaka wa Namanga kwa Magari yanayotoka Kenya hadi madereva wa Kenya wapimwe kwanza COVID -19 na wasubiri majibu.
Tulia kamanda bado upo karantini?hahaha eti mmejiridhisha ni mbinu za kuharibu biashara ya utalii Arusha.
hebu walau jaribuni kutengeneza uongo unaokaribiana na ukweli
Hata hivyo Gambo amekuwa mstaarabu sana, alitakiwa aseme wote ni positive kama Kenya inavyotufanyia. Hakuna hajambo ya kupoteza muda kwamba kadhaa 'positive' na kadhaa 'negative'.Wakifanya wao, sawa. Tukifanya sisi, siasa. Hapa ndiyo utajua akili ya mtu mzima na mwendawazimu haziwezi kuwa sawa!