Kama unaamini sisi tuna undugu wa kweli na Kenya basi uhalisia wako una matatizo.Mimi sifanyi siasa za kitoto na kishamba bali naangalia uhalisia
Haya matusi nayaona huku twitter siwezi kuwachukulia kama ndugu wanatudharau sana.Wakenya ni ndugu zetu,tutaendelea kutembeleana na kusaidiana lakini kwa mambo ya Covid-19 tuvumiliane kwa hatua hizi nyepesi nyepesi tunazochukua...
Huenda una mke na watoto eti!G Sam,
Kenge wanaanza kulialia huku wakitoa damu masikioni. Kisu kimekata mfupa...kaa!hamtasahau huu mziki
Ujinga na utoto ndani yake.upuuzi mtupu
Kwani ni Kenya peke yao? Vipi na Zambia, Rwanda na Malawi? Tukijifanya mawe nakueleza hatutaenda popote.Kama unaamini sisi tuna undugu wa kweli na Kenya basi uhalisia wako una matatizo.
Wabongo tuna IQ ndogo sana wala si uwongo.Wakifanya wao, sawa. Tukifanya sisi, siasa. Hapa ndiyo utajua akili ya mtu mzima na mwendawazimu haziwezi kuwa sawa!
Wabongo tuna IQ ndogo sana wala si uwongo.
Maabara yetu tumeifunga kupisha uchunguzi,hivyo vipimo mlivipimia nchi gani??
Acheni siasa kwenye maisha ya watu,hao watalii watakaokuja kwenye nchi isiyojali maisha ya watu kama hapa kwetu wanatoka sayari gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameiga wenzetu Kenya wanavyofanyaMkuu wa mkoa Arusha Mrisho Gambo amefunga mpaka wa Namanga kwa Magari yanayotoka Kenya hadi madereva wa Kenya wapimwe kwanza COVID -19 na wasubiri majibu.