Madereva 21 kutoka Kenya na 1 kutoka Uganda wakutwa na COVID19 baada ya kupimwa na Tanzania mpakani Namanga, Arusha

Unaamini madereva was tz wana C19 kweli?

Tanzania hatuna kipimo cha Covid-19 tulicho nacho ni kibovu hivo Madreva wetu wakiingia Kenya, Uganda au Rwanda lazima wapime ili kujua Wana maambukizi au la! Hilo ni takwa la WHO na halina ubishi.
Kama Tz wanatilia shaka vipimo vya jirani zetu wanunue Kipimo kingine toka kwa MABEBERU ili WAJIRIDHISHE...!!!!
 
Mbona wakirudishwa hawawekwi karantinii

Kwa Tanzania quarantine ya 14 days ni kosa la jinai, hakuna cha lockdown wala babake lockdown. Ndiyo maana Wabunge wa CHADEMA waliokwenda Quarantine ya siku 14 wameadhibiwa na Spika wa JMT kwa kurudisha Fedha na kukashifiwa na dharau kibao!!
 
waliofanya utafiti wakabaini kuwa katika watanzania 4 mmoja ni tahira inabidi warudie tena.
Nina uhakika wakifanya tena utafiti watabaini kuwa katika watanzania 5 basi 4 watakuwa ni matahira.
Hii nchi saizi ina ngedere wengi yani mtanzania anakubali kuiponda nchi yake na kuisifu nchi ya jirani kisa UCCCm na Uchadema seriously?
 
Back
Top Bottom